Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,806
12,221
Bombadier nyingine ya 3 kuwasili nchini mwezi huu, Serikali imeshatenga Sh. Bilioni 500 kwa ajili ya malipo ya awali ya ndege nyingine 3. [HASHTAG]#Tuliahidi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tunatekeleza[/HASHTAG]
DClQsuxXcAE4LK5.jpg


 
asante Magu tukomoe tu
uchungu wako tatizo uko usoni tu kwenye moyo wako hujaakisi unachokiwasilisha
laiti ungejua sisi walipa kodi ndo wenye uchungu zaidi na nchi hii kuliko wewe ambae unapanga tu unachota usingefanya hivyo
siwezi kuwa NZI mimi hasa wa KIJANI kushabikia kila ujinga unaotendeka nchini mwangu.
CHA MUHIMU UKUMBUKE KUFUNGUA NA GEREJI YA HIYO MIBOMBA MAPENZI YAKO
 
Wewe kama ulisha laaniwa ulilaaniwa tu kamwe laana hiyo haita kutoka mtu mmoja amesimama kwaajili ya Watanzania na Taifa kwa ujumla bado mnashindwa kumsapoti hakika nimeamini Nabii hapati heshima kwao Nchi ilikuwa haina ndege hata moja huyu amethubutu bado tunamdhihaki hakika wenzetu mataifa mengine wanamtamani sisi tunaleta dhihaka hakika MUNGU Atusaidie Sana tumejisahau tunashabikia kuliko ukweli.
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom