Kwa ajili ya abiria mmoja tu wa Chato makofi tafadhali tena kwa wingiBombadier nyingine ya 3 kuwasili nchini mwezi huu, Serikali imeshatenga Sh. Bilioni 500 kwa ajili ya malipo ya awali ya ndege nyingine 3. [HASHTAG]#Tuliahidi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tunatekeleza[/HASHTAG]
View attachment 526212
mwache anunue mitumba tutamuuliza akitoka madarakaniBombadier nyingine ya 3 kuwasili nchini mwezi huu, Serikali imeshatenga Sh. Bilioni 500 kwa ajili ya malipo ya awali ya ndege nyingine 3. [HASHTAG]#Tuliahidi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tunatekeleza[/HASHTAG]
View attachment 526212
Lishakufasi nasikia pangaboi moja lishakufa!!au nilisikia vibaya