figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Nilikuwa sijui kama na wachawi wana NO FLY ZONE huko angani.
Usiku wa kuamkia leo huko Pemba, mtu mmoja amedondoshwa juu ya bati na kuseleleka hadi chini ya mpera akiwa Uchi wa Mnyama.
Aliyemdondosha anadai amempa nguo za kuvaa ndo akaita majirani then alfajiri akampeleka kituo cha Polisi kamuacha huko.
Amewapa Onyo wachawi wengine kwamba wasifikiri anga lake ni la kuchehchezea, waliogope.