Ndege ya serikali yatumika kumpeleka mama wa kwanza shopping dubai...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya serikali yatumika kumpeleka mama wa kwanza shopping dubai...!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by futikamba, Mar 13, 2011.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakuu habari yenu,
  Ebwana kuna tetesi nimezisikia. Eti ndege ya serikali inatumika kumpeleka Mama Salma na familia yake Shopping Dubai na popote pale wanapotaka kwenda. Hii nimeisikia kutoka kwa mtu wa ndani sana pale airport...
  Hii ni kweli?!
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  First lady lazima apate marupurupu hayo
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Ushasema "tetesi" tosha.
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mke sio mchumba kama wa flan..flan
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  fadhila za alivyopiga kampeni, hivi mbona mama anna mkapa naye alifanya biashara ikulu
   
 6. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Je, si ubadhirifu wa mali ya umma? Na hilo la Ridhwani kutembea na msafara je, ni sawa pia??
   
 7. mmzalendo

  mmzalendo Senior Member

  #7
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa lakini kwendea shoping dubai bwana huu ni uhuni wa serikali yetu
   
 8. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  mimi sijui
   
 9. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  ndo mana yupo kimya.....kumbe anakula raha Dubai,hata siku ya wanawake duniani yeye hakuwepo pale. duh
   
 10. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii ndio tanzania yetu tunavoijenga! U mimi kwanza..
   
 11. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mwache ale raha. Kama alitumia ndege ya serikali wakati wa kampeni kuna kitu gani kikubwa kama anaitumia wakati huu akiwa na uhakika wa kukaa miaka minne pale ikulu? mkombozi wetu ni wananchi wenyewe. wanachi tutakuwa tumenaza kufanya ukombozi wakati tutakapokuwa tumeweza kuamua namna ya kuendesha nchi yetu kwani mpaka sasa nchi yetu iko mikononi mwa mafisadi.
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,663
  Likes Received: 21,887
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo kwa vile ni mke kwako wewe ni sawa tuu? Kumbuka wakati huohuo serikali inahqha kutafuta fedha za kulipa mishahara ya watumishi wake
   
 13. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kufa hatufi ila chamoto tunakiona hii ndo ccm ya jk!
   
 14. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  unamaanisha Vicky Kamata????
   
 15. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Naaminisha Josephine Mushumbuzi girl friend wa Dr Wilbroad Slaa (padre aliyefukuzwa)
   
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280

  Ndi gharama za kuendesha serikali, kuna wakati inabidi kodi za wananchi inabidi zilipie nyege za viongozi, uliza safari ya Slaa na Mushumbuzi marekani italipiwa na nani kama sio sisi wananchi.
   
 17. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  tulichagua hovyo......sasa tunatendewa hovyo......na tusilalamike hovyo......miaka 4 sio mingi .........mkirudia tena kuchagua mtaendelea kulia hovyo hovyo
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  mi sishangai.nchini mwetu mtu akiwa rais family yake yote ni marais.kwenda dubai wanamkufuru mungu.Coz gongo la mboto..
   
 19. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  sasa ndio aende shopping Dubai? Inamaana maduka ya posta, kariakoo hayaoni? Uhujumu uchumi huu!
   
 20. Nditu

  Nditu Member

  #20
  Mar 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni ubadhirifu wa madaraka ambao Hayati Nyerere aliupiga vita kwa nguvu. Nyerere alikuwa akisema waziwazi kwamba urais wake si wa familia na kwa kuonyesha msisitizo hata watoto wake walisomea hapahapa na kuishi na kufanya kazi za kawaida kama Mtanzania yeyote.
  Tatizo hapa ni kukosekana kwa watu wa kumshauri Kikwete ambaye amezunguukwa na washauri duni, wasio na uwezo, waoga na wanaojipendekeza kwake.
  Haiingii akilini mtoto wa Rais kutembea na motorcade! Tena nilipata kichefuchefu siku ile ya kuapishwa Kikwete Ridhwani na mkewe walipoingia na magari ya msafara wa wageni mashuhuri! Je huu ni utawala wa kifalme? Ridhwani ni nani basi katika nchi hii na amepigiwa kura na nani hadi kupewa heshima zote anazopewa? Nasikia hata ikulu ana amri kuliko hata za Baba yake!
  Ipo siku watanzania watamtaka Kikwete ajieleze kwa uhuni anaolifanyia taifa. Hata kusuka nywele na kununua poda ni lazima mkewe aende Dubai? Kweli nchi imekwisha na utawala wa kikwete ni janga la kitaifa.
   
Loading...