Ndege ya Rais yagongwa na Gari la Usalama wa Taifa

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Kuna mwenye taarifa inaendeleaje? Nani anaitumia kwa wakati huu? Iko salama? Na iko salama kiasi gani? Muungwana ameitumia lini mara ya mwisho? Matumizi yake yana tija kwa taifa?

Nina hamasa ya kuelewa nini kinaendelea. Hatukuuziwa mbuzi kwenye gunia?

Usalama wa rais wetu una umuhimu mkubwa kwetu kama watanzania!
 
Last edited by a moderator:
He, tusijeambiwa ina matatizo, maana kwa Tanzania unaweza kusikia ina matatizo, au ina matatizo kweli.... nakwambia Tanzania kuna mambo mengi sana, tusubiri tuone. Naota kama "inaumwa" vile!!!! na hii ndiyo JF original
 
He, tusijeambiwa ina matatizo, maana kwa Tanzania unaweza kusikia ina matatizo, au ina matatizo kweli.... nakwambia Tanzania kuna mambo mengi sana, tusubiri tuone. Naota kama "inaumwa" vile!!!! na hii ndiyo JF original

Fisadi Mkapa aliamua kununua ndege hiyo akiwa amebakisha miezi mitatu kumaliza awamu yake. Naona alikuwa anataka kuongeza mshiko wake uwe mnono zaidi toka kwa yale wakala aka fisadi maarufu wa ununuzi wa rada, magari na helicopters za jeshi na pia ndege ya Rais, Vithalani. Vinginevyo kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kununua ndege wakati muda wako unaisha.
 
Hapa kuna issue nzito kuhusu usalama wa hiyo ndege.... tusubiri
 
Ile ni ndege ya Mkapa sidhani kama ilinunuliwa kwa ajili ya Raisi wa Tanzania ,kivuli kilitumika kununua ndege ile ,mbona Kikwete hajawahi kuitumia kwa safari zake za kuzunguuka hapa duniani
 
Tanzania hatuna matatizo ya pesa wala anything, tuna uongozi mbovu tu maana leo ukipigiwa mapesa yanayotumika kwa safari tu za maofisa wa serikali nje ya nchi yetu utalia machozi ya damu,

Hivi unajua Egypt walienda wangapi? Ngoja tuwaombe wabunge waulize hili swali kabla bunge halijaisha!, yaani serikali yetu inatumia hela ngapi kwa ajili ya safari za nje za maofisa wetu kwa mwaka, japo huu tu ambao haujaisha!
 
kwa sasa ndege ya rais wetu imepaki uwanja wa Mw nyerere terminal one.
kuhusu kufanya kazi au kutokutokufanya hiyo ni issu nyingine kwasababu kila safari anatumi emirates.
 

...Hivi unajua Egypt walienda wangapi? Ngoja tuwaombe wabunge waulize hili swali kabla bunge halijaisha!, yaani serikali yetu inatumia hela ngapi kwa ajili ya safari za nje za maofisa wetu kwa mwaka, japo huu tu ambao haujaisha!

Hayo maswali ni marufuku...

...Mathalan, Safari za Rais zinajulikana ni ngapi za mwaka, zikitokea za ziada, zinaelezwa ni zipi na kwanini ili kupata idhini ya Bunge kwa fedha zilizotumika ambazo hazikuidhinishwa na Bunge. Kwetu ukiomba hiyo ni sawa na uhaini. Ukiuliza safari za Mawaziri au kiongozi yeyote wa Serikali na hasa ukitaka ku 'tie up' safari hizo na tija inayoambatana nayo unatazamwa kama mhaini. Kuna mafungu tunayaidhinisha kwa Mabilioni bila maelezo lakini mafungu mengine hata ya Shs 2,000,000 yameonyeshwa.
 
Kuna mwenye taarifa inaendeleaje? Nani anaitumia kwa wakati huu? Iko salama?....
Nina hamasa ya kuelewa nini kinaendelea. Hatukuuziwa mbuzi kwenye gunia?
Mkuu Ndege ipo salama salmini,ila inasemekana JK haitumii kwasababu eti Mlango wake ni Mfupi Mno,JK ni mrefu kiasi,hujigonga kichwa....kwahiyo watu wa usalama wameshauri asiitumiye,kama utakumbuka yale magari madogo yaliyonunuliwa (lexus)kwa matumizi ya W.Mkuu nayo yaligundulika kuwa hayafai kwani nafasi ya Miguu ilikuwa ni finyu sana...."Ila waligundua tatizo hilo baada ya kufanya Manunuzi!"
 
Zamani nilikuwa naamini kuwa tuta tatizo la fedha lakini sasa ni wazi kuwa tatizo ni misuse, misallocation na squandering. Tunapesa nyhingi sana za kutransform maisha yetu na miji yetu na sisi tukaishi kama nchi za wastaarabu. I wonder what was the rationale of sending a big team to Egypt, Japan etc etc ziara nyingi za namna hiyo ukipiga hesabu baadaye unaona kama umeinvest shiling 10,000 na unapata 2,500. It only happens in Tanzania.
 
Mkuu Ndege ipo salama salmini,ila inasemekana JK haitumii kwasababu eti Mlango wake ni Mfupi Mno,JK ni mrefu kiasi,hujigonga kichwa....kwahiyo watu wa usalama wameshauri asiitumiye,kama utakumbuka yale magari madogo yaliyonunuliwa (lexus)kwa matumizi ya W.Mkuu nayo yaligundulika kuwa hayafai kwani nafasi ya Miguu ilikuwa ni finyu sana...."Ila waligundua tatizo hilo baada ya kufanya Manunuzi!"

Mkuu kama ni kweli ndizo sababu basi hii ni kali sana....inanikumbusha babu mmoja wa ki malawi aliniambiaga kuwa ....."Mwafrika akipata cheo basi hudhani yeye ni mungu mdogo"...na hii ni kweli kabisa hebu tuangalie viongozi wetu wa Afrika wanvyofuja mali zetu masikini...halafu wanataka kila mara muwasifie na kuwapamba na kuwachezea ngoma.

Kwetu, kiti ni uchumi wa kujinufaisha binafsi na familia...hamuoni hata wakipata u Rais wanaiva sana...ambapo hawo wazungu wakipata cheo ndio wanzeeka haraka sana. Leo Muungwana ameonekana huko Tanga kajaza bling bling mmoja nzito na suti ya gharama sana.

Kuna wakati Clinton(alipokuwa rais USA) alivaa suti ya dola 600 na press yao ilimshambulia vibaya sana...lakini huku kwetu inabidi uvae suti ma elfu ya dola na hakuna atakaye kukemea bali utasifiwa sanaaaaaaaaaaa.
 
Sell presidential jet, MPs say

2007-07-12 10:05:45
By Patrick Kisembo, Dodoma


Legislators yesterday pressed the government to sell the presidential jet, a debate that has been carried forward from the era of the third phase government.

MPs yesterday described the jet as a not cost-effective government transport facility.

Shadow minister for Infrastructure Development, Bakar Faki, told Parliament that the jet could land in five airports only.

``The presidential jet uses 6m/- per hour�besides the fact that it carries very few delegates who accompany the President during his official trips,`` he said.

Opposition legislators want the government to sell the plane and use part of the money to purchase a presidential helicopter, which can reach many parts of the country, down to the villages.

``The remaining money should be channeled to other development projects,`` Faki said.

Contributing to the Infrastructure Development Ministry budget estimates, former Prime Minister and Mtera MP, John Malecela, said it was high time the government constructed an international airport in Dodoma.

The legislator described Dodoma as a central and fast-expanding city, which calls for delivery of various services and construction of modern facilities, including an airport.

``It`s amazing to see that even the Presidential jet cannot land in Dodoma. The government has to do something,`` he said.

SOURCE: Guardian

Huyu Mbunge aliishia wapi na kelele zake za kuiuza hii ndege?
 
This presidential plane was bought and delivered in Dar on October 1, 2004 costing the government about $40 million. Plans to purchase this plane goes way back to about July of 2002 and amidst chaos and protest in the parliament and streets the government put its foot down that the plane was to be bought come hunger or food. Mr Basil Mramba the then Finance minister firmly defended the decision and was quoted as saying that the presidential jet was to cost the government less that 7 million pounds. When the beast arrived, the purchasing price was way than what finance minister had promised.
 
wabunge wakiuliza kila madudu ya serikali bungeni na kutegemewa kupewa majibu ya maana na kufanya majadiliano kutokana na majibu hayo nafikiri kikao cha bunge kitachukua nusu mwaka! maana madudu ya serikali ni mengi mnoooooo
 
Invisible ,

Something is fishy here ....haiwezekani hata kidogo Vasco Da Gama aiache ndege bila sababu. Hebu tuelezee nini haswa kinaendelea , kwa sababu kama ndege ilinunuliwa kwa milioni 40 nadhani itakuwa brand new ...kwa hiyo lazima iwe na warrant ! Sasa la kujiuliza ni kwa nini imepakiwa ? jee lengo la kuinunua lilikuwa nini kama Rais aitumii....
 
Kuna mwenye taarifa inaendeleaje? Nani anaitumia kwa wakati huu? Iko salama? Na iko salama kiasi gani? Muungwana ameitumia lini mara ya mwisho? Matumizi yake yana tija kwa taifa?

Nina hamasa ya kuelewa nini kinaendelea. Hatukuuziwa mbuzi kwenye gunia?

Usalama wa rais wetu una umuhimu mkubwa kwetu kama watanzania!

Ni wazi inawezekana unataka ku imply kuwa ndege hiyo ina matatizo yenye kutishia usalama wa Rais na kwa hiyo tumeuziwa mbuzi kwenye gunia.

Unaweza kuta ni sababu nyingine ya kuendeleza ufujaji na wakati hata mali za wananchi hazijarudishwa!

Isije kuwa ni vita kati ya marais hao wa kati ya Ben na JK ya kuwa ni nani atakayeweza kumu outspend mwenzake!
Wajuwe wanadili na pesa za wananchi na hivyo wawe makini.

Hilo linadhibitishwa na highlight.

Ni wengi wetu tuna kumbu kumbu nyingi tu za kuhusiana na ndege hiyo ya Rais.

Kubwa zaidi ambalo mimi binafsi siwezi kulisahau ni the fact kwmba ndege hiyo ilitumika kumpa Ballali lifti kutoka Dodoma akiwa na Rais mwenyewe na baada a hapo Ballali ni kuumwa(kama ni kweli)

Kuja Marekani kutibiwa na baadaye kupotelea mbali na ama kufa kwa mapenzi ya Mungu.

Kwa hiyo nashangazwa pia na habari kuwa mlango wa ndege hiyo ni mfupi...Usije kukuta ilikuwa ni ndege iliyotakiwa kupelekwa huko Congo Brazzaville.
Ama kule wanakoishi eskimos ni wapi?
 
heeeee!!!

Jibuni maswali ya invisible kwenye original post! mbona kengele mingi shee!!!
 
Zamani nilikuwa naamini kuwa tuta tatizo la fedha lakini sasa ni wazi kuwa tatizo ni misuse, misallocation na squandering. Tunapesa nyhingi sana za kutransform maisha yetu na miji yetu na sisi tukaishi kama nchi za wastaarabu. I wonder what was the rationale of sending a big team to Egypt, Japan etc etc ziara nyingi za namna hiyo ukipiga hesabu baadaye unaona kama umeinvest shiling 10,000 na unapata 2,500. It only happens in Tanzania.

Wakati fulani Salva huyu aliye IKULU aliwahi kupiga mahesabu ya ziara ya Sumaye kule Marekani ikafika kama milioni 500 hivi. Ilikuwa ni katika harakati za kuitafuta hii nafasi aliyonayo nini?
 
Back
Top Bottom