Ndege ya Rais yagongwa na Gari la Usalama wa Taifa

nkapanandege.jpg

Halafu angalia watu, wanavyo tukejeli hapa chini kwenye hio highlighted comments....hivi hii mijizungu hawajui sisi tukisafiri twabeba kila kitu mpaka kuku.....eti anashangazwa na hio entourage kidogo na tu gari vidogo tu

Aircraft Details
» Tanzania - Government
Gulfstream G550

Location

»Zurich-Kloten Airport - LSZH
»Switzerland

Registration/Serial No./Date
»5H-ONE »5030

Date
»January 29, 2005

Photographer
»ErwinS
Remarks: The big boss of Tanzania getting ready to board his G.V. Note the nice line-up of cars.
 
Icadon na wengine,
Naomba kuuliza kuwa ndege hii ilinunuliwa kama "mtumba" ? 5H-ONE Gulfstream G550 5030 (ex N830GA)

Sidhani kama hii ndege ilinunuliwa mkweche. hii ya kwetu imekuwa manufactured in 2003 Pale savannah GA na Govt wakanunua 2004 in fact ilikuwa registered 5/04....so its brand new..Again unaweza kutumia serial number au hiyo N830GA kusearch.

By the way last time I checked ilikuwa inacost about $ 2,300 per hour kuirusha naona bongo wameongezea cha juu...I smell ufisadi.
 
Sarah Palin

John McCain’s running mate The 44-year-old Vice Presidential candidate.

In 2006 she was voted state Governor. After taking office she followed through on a campaign promise to sell the Governor’s private jet bought on state credit. She sold it for £1.3million after putting it on eBay. In a recent poll among Alaskans she had an approval rating of 76 per cent.

Jamani angalieni hawa wenzetu wameendelea lakini wakiona haya mavitu hayana manufaa wanauzilia mbali sasa huu ni wakati wa viongozi wetu waraise hii issue na waliuzie mbali hilo dege linalokula fedha zetu
 
....Ngomanzito hayo mambo kwa huku kwetu sio kitu rahisi tuna maviongozi manafiki yanayohubiriwa katika majukwaa si wayatendayo ukichangia na njaa na umasikini wao wanaamini mahali pa kutokea ni kwenye siasa that's why hawako committed.

Nashauri tuangalie uwezekano wa kuleta consultants wa kuongoza serikali yetu kila wizara unaweka waziri,naibu na katibu mkuu ni foreign consultant on contract basis akivurunda kazi tunawapiga chini tunaweka wengine sio hawa wakwetu madudu matupu....
 
du wabongo kwa kununua mitumba hatujambo aisee hehe he he he inawezekana huu mzigo ulikuwa ni second hand
 
wakuu hii mada iliishia hewani hewani,but naona hadi sasa hii ndege inapiga mzigo kama kawa,sasa sijui waliokuwa wanasema ni mtumba walikuwa na maana gani?

kani ndege haifai kufanyiwa service? ila yote kwa yote hiko kandege ni kabaya sana aisee dah,yani ni aiabu kwa Rais kushuka katika tungazi kwa ndege hiyo,inafaa serikali ikanunu ndege nyingine kubwa ya kisasa kwa ajili ya rais
 
Back
Top Bottom