Ndege ya Rais wetu ipo Wapi?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,606
37,799
Poleni na mjadala wa Katiba; mimi leo nimeota rais akiwa anapanda ndege imeandikwa Tanzania Air Force One; akielekea nje ya nchi; Nikiwa njiani kuja hapa kibaruani kwangu nikawaza maswali mengi tu bila kupata majibu sahihi; Je ndege hii ipo wapi? Je ina hali gani kwa sasa? Je ilishawahi kufanya safari ngapi nje na ndani ya nchi? ilinunuliwa bei gani? Nikifika aiport yetu huwa najitahidi sana kuangaza angaza ili walau niione lakini wapi? anyejua anijuze maana mali hii ni yetu sote watanzania.
images
images
images
 
Ungeelekeza swali lako specifically kwa RITZ nadhani ungepata majibu ya kukutosheleza
 
images
images
nimeamua ku-google nimeikuta isee ni nzuri sana.
 
iko msoga wachina wakikamilisha kutengeneza kiwanja cha ndege ndiyo itakuwa ya kwanza kutestiwa toka hapo kwenda mtwara then lindi kisha shinyanga
 
Ndege ya Rais ipo ila walisema kuendesha
ni gharama kubwa sana bora
Rais anaposafiri kutumia Bussines Class
na wasaidizi wake.
 
Ndege ya Rais ipo ila walisema kuendesha
ni gharama kubwa sana bora
Rais anaposafiri kutumia Bussines Class
na wasaidizi wake.
ina maana kabla ya uamuzi wa kuinunua hawakufanya cost analysis hii? Nawauliza hawa watu wa PPRA?
 
ina maana kabla ya uamuzi wa kuinunua hawakufanya cost analysis hii? Nawauliza hawa watu wa PPRA?

Mkuu hii Nchi ni ya wajanja tu maana wakati
ule Basil Mramba alisema hata nyasi watu wale
ili ndege inunuliwe.

Yaani haya yote waliyajua vema ila basii
 
Ndege ya Rais ipo ila walisema kuendesha
ni gharama kubwa sana
bora
Rais anaposafiri kutumia Bussines Class
na wasaidizi wake.

Wapuuzi kabisa; kwani walipoamua kuinunua hawakujua gharama za uendeshaji wake??? Kwa hiyo ni pambo tuu hapo kwenye PARKING uwanja wa ndege??? Kweli hii nchi ni zaidi ya shamba la Bibi!!
 
iko msoga wachina wakikamilisha kutengeneza kiwanja cha ndege ndiyo itakuwa ya kwanza kutestiwa toka hapo kwenda mtwara then lindi kisha shinyanga

utabaki hapohapo ulipo wenzako wanasonga mbele wewe baki kuzua umbea tu,utakonda kwa umbea.
 
Wapuuzi kabisa; kwani walipoamua kuinunua hawakujua gharama za uendeshaji wake??? Kwa hiyo ni pambo tuu hapo kwenye PARKING uwanja wa ndege??? Kweli hii nchi ni zaidi ya shamba la Bibi!!

akina nani wapuuzi kwa nini na wewe usiwepo kwemye hilo kundi kwa kukosa busara na kutukana bila sababu.
 
Back
Top Bottom