Ndege ya Makamu wa Rais, Kamala Harris yatua muda mfupi baada ya kupaa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,167
2,000
Tatizo la kiufundi limepelekea ndege ya Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris kurejea Maryland takriban dakika 30 baada ya kuondoka kuelekea Guatemala na Mexico

Air Force Two ilitua salama huku Harris akisema yupo sawa na wote walifanya maombi. Aliondoka kwa ndege nyingine saa moja na nusu baadaye

Msemaji wa Makamu wa Rais amesema muda mfupi baada ya kuruka wafanyakazi wa ndege waligundua gia ya kutua haikuwa inavyotakiwa, na ingeweza kusababisha matatizo zaidi ya kiufundi

======

A technical problem that involved “no immediate safety issue” forced Vice President Kamala Harris’ plane to return to Joint Base Andrews in Maryland about 30 minutes after she had left Sunday on a trip to Guatemala and Mexico.

Air Force Two landed safely and she gave a thumbs-up when she got off.

“I’m good, I’m good. We all said a little prayer, but we’re good,” she said.

The vice president departed in another plane about an hour and a half later.

Her spokesperson, Symone Sanders, told reporters traveling with Harris that shortly after takeoff the crew of the original aircraft noticed that the landing gear was not storing as it should, which could have led to further mechanical issues.

“While there as no immediate safety issue, out of an abundance of caution they returned to JBA where they have all the parts and mechanics they need to fix the issue,” she said.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom