Ndege ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Saudia kutua Israel

Saudi arabia wanajitahidi sana kuvu koti chakavu la mila potofu za siku nyingi zilizopitwa na wakati ambazo zilikuwa zinaenezwa kuwachukia watu wa jamii nyingine wasio waarabu na watu wa imani tofauti na kuhimiza usawa wa binaadam angalau kwa awamu. Nchini humo tofauti na nchi nyingi za kiarabu wanawake sasa wanaonekana kama binadamu mwingine na wamesharuhusiwa kuendesha hadi gari kitu ambacho kwa mila.za.zamani ilikuwa haram. Huwezi kumchukia binadamu mwezako kisa tuu umesoma mavitabu ya zamani ambayo hata waandishi wake hawajulikani. Dunia sasa hivi ustaarabu unaingia na mutual respect ndio kipaumbele. Achana na mahistoria uliyokaririshwa ondoa sumu ya kinyongo heshimu binaadamu wenzako bila kujali tofauti za rangi, mila, dini na kijografia mtaishi kwa amani
 
Misri, North africa yooote na Palestina ni ardhi ya weusi tu!! hao waarabu kwao ugiriki walidhurumu kitambo sana kwa kudanganywa na hao wazungu! sasa wazungu wamerudia ardhi wanalia lia!

watulie tu dawa iwaingie!! wakitaka amani amani warudishe ardhi hiyo kwa wayahudi weusi! wanajua wao walipo waficha! vinginevyo hapata kalika

Hujui hata unachokiongea, ,, wewe ni wajuzi tu hujui historia za waarabu. Sijui Mmekaririshwa makanisani huko!!!
 
Hakuna Racial group Duniani eti inaitwa Waarabu!!! hao wa Saud Arabia ni Machotara wa kiafrica na Wazungu! yaani Mulattoes!! na hawa wako mpaka hapo zanzibar! Hiyo Saudi arabia ya leo ni sehemu ya Ethiopia ya kale, ilikuwa inaendaa mpaka kupakana na India,

Notorious slave traders Duniani kamwe hawawezi kuwa wayahudi! bali ndo hao waarabu wako! waliuza watumwa Dunia nzima!! Mungu hakusema wayahudi watafanya hiyo biashara bali watakuwa waathiriwa wakubwa wa Biashara hiyo ya utumwa! km adhabu!

Sasa km Waarabu ndo wayahudi waliuzwa wapi na kwa nani?? ni weusi pekee ndo waliuzwa Humu Duniani! ikiwa km adhabu ya kumkosea Mungu! alisema ''Mkiasi neno langu mtarudishwa Misri kwa Majahazi!''

je nani hao walibebwa kwenye majahazi km watumwa?? Waafrica tu!!! hao waarabu wa leo ni mapandikizi ya Myunani jemadari wa majeshi Alexander the Great!! aliwapandikiza wazungu ndo wakazaa hao waarabu wa leo! huko Saudia!

Lkn pia elewa kuwa ktk kila Alifanyalo Mungu shetani ana plan B'' yake!! ili kupotezea ukweli!! possibly wewe uko upande wapili lkn tulio wake hatudanganyiki!!! jiulize tu km yesu alikuwa muarabu nyie mlitoka wapi???

sababu Mungu aliwaambia wayahudi kuwa mkiacha neno langu mtaabudu msicho kijua!! ni kweli angalia leo wanaabudu yesu kazungu!! Nephilim!! hii wapi na wapi ......

Nimeishia njiani kusoma kijihistoria chako cha kutunga/kusadikika.


Unaliaibisha hili jukwaa ewe naswara,
 
Nimeishia njiani kusoma kijihistoria chako cha kutunga/kusadikika.


Unaliaibisha hili jukwaa ewe naswara,
Hapana Naswara! hilo lako! uelewa baba! uelewaa!! ni jibu rahisi kwa hoja nzito! siyo umeishia kati no!!.... umelimaliza loote!! nina uhakika! ndo maana umejibu kirahisi ivo!! ....tatizo sasa uwezo wako ni mdogo wa ku digest mambo!! teteee!! eh!! teee! hujui kitu! hapo bin kapa!
 
Hujui hata unachokiongea, ,, wewe ni wajuzi tu hujui historia za waarabu. Sijui Mmekaririshwa makanisani huko!!!
Ona sasa usivo jua kitu!! Makanisa ni yenye asili ya yesu mzungu!! itakuwaje nimponde yesu mzungu wenu? mwenye kanisa si nitafukuzwa ushirika? wanaita eti nimejazwa na pepo wachafu!

Makanisa yenu hayo wanaona israel ya leo ni taifa teule!! halafu weye uliponde unadhani hapo kanisani lita kuvumilia? utakaa kwa misingi ipi? km hawajakuona una mashetani? hakuna tajiri au msomi nguri anaekwenda kwenye hayo makanisa!! nani mtaje?

na hakuna tajiri km mie! aliye wahi tolewa mapepo km yupo mtaje!! sawa mie wa juzi ila wewe ni wa zamani lkn unawaza kizamani! km vileee walivyo danganywa Babu zetu!! wakatoa ardhi!! wakoloni wakatupatia Biblia! ..''jesu apenda veve!!!''

mnashangiliaaa! .... sasa babu zetu ni sawa hawakuwa na Elimu lkn sasa weye nae? graduate mtu mzimaaa? mmm! pwiiii!
 
Waoalestina ndo wa mwanzo kukaa hapo, wakitokea crete ugiriki, kabla hata abraham hajahamia caanan kutokea mesopotamia,, suala la waisrael kupewa ardhi na mungu liko kiimani zaidi,, lakini sio kiuhalisia,
Japo waisrael ni mojawapo ya jamii za eneo hilo
Kuna uthibitisho gani kwamba walitokea Ugiriki kuja hapo.
 
Back
Top Bottom