Ndege ya Fastjet yataka kuanguka wakati ikipaa J.K.Nyerere (Dar)-Mwanza

ngoshombasa

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
435
232
Nimeambiwa na rafiki Yangu aliyekuwa amepanda Fast jet Dar-Mwanza Leo asbh ilitaka kudondoka wakati ikiruka kutoka uwanja wa dar. Rubani alifanikiwa kuishusha na abiria wakabadilishiwa ndege nyingine.

Rafiki yangu hakutoa maelezo zaidi ninaomba mwenye habari kamili atujuze.

Asanteni.
 
Mungu mkubwa tuzid kumshukur hatuepushe na ajali zote na kuisaidia nchi yetu kusonga mbele kiuchum
 
Inaelekea mambo yameanza kuwaendea ndivyo sivyo!

Jana kuna ndugu yangu alikuwa aondoke KIA kwenda Dar na ndege ya saa 3 usiku, ikasogezwa mbele hadi saa 8 alfajiri!
 
Nimeambiwa na rafiki Yangu aliyekuwa amepanda Fast jet Dar-Mwanza Leo asbh ilitaka kudondoka wakati ikiruka kutoka uwanja wa dar. Rubani alifanikiwa kuishusha na abiria wakabadilishiwa ndege nyingine.

Rafiki yangu hakutoa maelezo zaidi ninaomba mwenye habari kamili atujuze.

Asanteni.

uzushi
 
ilipata pancha angani?
 
SINA TAARIFA NA NDEGE YA FASTJET ILIOTAKA ANGUKA lakini nina ushauri wa bure kwa watumiaji wa ndege za makampuni yetu: watumie at their own risk? ni mitumba ya ndege ambazo ulaya huuzwa kama yuma chakavu, tz hatuna udhibiti wa muda wa mwisho kuruka ndege kwa sababu ya siasa kuingilia utaalamu na miradi yote hiyo nyuma yake kuna vigogo!
 
Uko sahihi kabisa maana nilichokishuhudia kwenye Precision Air wakati tunatua KIA sitakaa nisahau na huwezi amini ila baada ya siku mbili ambapo ndio ilikua nichukue the same flight from KIA to Mwanza wakabadili ndege kutokana na matatizo ya Kiufundi hahahahaaaaaa MUNGU anatupenda sana

Back
Top Bottom