Ndege ya Cuba imeanguka huko Havana na kuua zaidi ya watu 100

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Ndege ya kubeba abiria aina ya Boeing 737 ya shirika la ndege la taifa Cuba, Cubana de Aviacion, imeanguka na kulipuka karibu na uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jose Marti, Havana, vyombo vya habari Cuba vinasema.

Shirika la habari la Prensa Latina limesema ndege hiyo imeanguka muda mfupi baada ya kupaa.

Taarifa zinasema ndege hiyo ilikuwa imewabeba watu 104. Kufikia sasa, hakujatolewa taarifa kuhusu hatima yao.

Radio Habana Cuba imeripoti kwamba ilikuwa ndege ya safari za ndani ya nchi na ilikuwa safarini kutoka Havana kwenda Holguin, mashariki mwa taifa hilo.

Watu walioshuhudia wameambia shirika la habari la AFP kwamba waliona moshi mwingi ukipaa angani kutoka eneo la ajali hiyo.

Wazima moto na watoaji huduma za dharura wakiwa na magari ya kuwabebea wagonjwa wamefika eneo hilo.

Rais wa taifa hilo Miguel Diaz-Canel ambaye aliapishwa mwezi jana, yumo njiani kuelekea eneo la mkasa, shifika la AFP linasema.

Radio Habana Cuba imesema kwenye Twitter kwamba ndege hiyo ilianguka kwenye "barabara kuu" kati ya Boyeros na Havana, karibu na uwanja huo wa ndege.

======

HAVANA (Reuters) - More than 100 people were killed when a Boeing 737 crashed soon after taking off from Havana in what appeared to be Cuba’s worst air disaster in nearly 30 years, and there were only three survivors, officials and state media said on Friday.

The passenger plane, on a domestic flight to Holguin in eastern Cuba, crashed at 12:08 p.m. (1608 GMT). There were 105 passengers, including five children, plus crew members, state media reported.

Five of the passengers and the crew were foreign, according to media reports. Two Argentine citizens and an unspecified number of Mexicans were among the dead, the Argentine and Mexican governments said.

President Miguel Diaz-Canel said in broadcast comments that a high number of people appeared to have been killed. He said the fire from the crash had been extinguished and authorities were identifying bodies.

Diaz-Canel said authorities were investigating the cause of the crash.

Cuba declared an official period of mourning from 6 a.m. on May 19 to 12 p.m. on May 20, during which the flag would be flown at half-mast outside state and military institutions.

Former Cuban president Raul Castro, who now heads the country’s ruling Communist Party, offered his condolences to the families of those who died in the crash as he recovered from a hernia operation, State media reported

This was the first time Cuba reported on a health issue for Castro, 86, who last month handed over the reins of power to his right-hand man Diaz-Canel.

Castro “who is recovering satisfactorily from a recent planned surgery to get rid of a hernia is staying up to date on the situation and has given the relevant guidance,” the Communist Party newspaper Granma reported.

Blackened wreckage of Flight CU972 was strewn over the crash site, 20 km (12 miles) south of Havana.

“We heard an explosion and then saw a big cloud of smoke go up,” said Gilberto Menendez, who runs a restaurant near the crash site in the agricultural area of Boyeros.

The flight’s destination, Holguin, is the capital of a province popular with tourists for its pristine beaches.

Carlos Alberto Martinez, director of Havana’s Calixto Garcia hospital, told Reuters that four victims of the crash had been were brought there and one died. Three others, all women, were in a serious condition, he said.

“She is alive but very burned and swollen,” said one of the women’s relatives at the hospital.

The Mexican transport department said on its website, “During take-off (the plane) apparently suffered a problem and dived to the ground.”

The Boeing 737-201 aircraft was built in 1979 and leased by Cuban airline Cubana from a small Mexican company called Damojh, according to the Mexican government.

Damojh in Mexico said it did not immediately have any more information. Cubana declined to comment.

Mexico said it would send a team of investigators from its Directorate General of Civil Aeronautics on Saturday. Most aircraft accidents take months to investigate.

A U.S. State Department official said the agency was not aware of any request for U.S. assistance at this time, but the National Transportation Safety Board and Federal Aviation Administration had offered to assist in the investigation.

The State Department has spoken with the Cuban ambassador to offer condolences, the official said.

Boeing Co said in a statement that its technical team stood “ready to assist as permitted under U.S. law and at the direction of the U.S. National Transportation Safety Board and Cuban authorities.” The United States has a decades-old trade embargo on the island.

The earliest Boeing 737s like the one that crashed use engines made by Pratt & Whitney, part of U.S.-based industrial group United Technologies.

On Thursday, Cuba’s First Vice President Salvador Valdés Mesa met with Cubana bosses to discuss public complaints about its service, according to state-run media, including numerous cancellations of domestic flights this year and long delays.

Earlier this month, the company was ordered to suspend flights of its six Russian built AN-158 aircraft, of which most had reportedly already been grounded, according to state-run media.

The last fatal crash in Cuba was in 2017, the Aviation Safety Network said. It was a military flight and all eight on board were killed. In 2010, a commercial Aero Caribbean plane crashed in central Cuba and all 68 people on board were killed.

In the worst Cubana disaster, a Soviet-made Ilyushin-62M passenger plane crashed near Havana in 1989 killing all 126 people on board.

Plane crashes in Cuba killing more than 100, investigation underway
 
Kuna raia watatu wamesalimila ila majeraha na hali zao haziridhishi.
 
Pole Cuba,

Inaonekana hii Ndege ilikuwa ya zamani sana imetengenezwa 1979. Imekodishwa kutoka Mexico. Malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi. Hili shirika Cubana inaonekana lina matatizo makubwa.

The Boeing 737-201 aircraft was built in 1979 and leased by Cuban airline Cubana from a small Mexican company called Damojh, according to the Mexican government. Boeing 737 aircraft use engines made by CFM International, supplier of the world's most-used engines,

On Thursday, Cuba's First Vice President Salvador Valdés Mesa met with Cubana bosses to discuss public complaints about its service, according to state-run media, including numerous cancellations of domestic flights this year and long delays.

Earlier this month, the company was ordered to suspend flights of its six Russian built AN-158 aircraft, of which most had reportedly already been grounded, according to state-run media.
 
Pole Cuba,

Inaonekana hii Ndege ilikuwa ya zamani sana imetengenezwa 1979. Imekodishwa kutoka Mexico. Malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi. Hili shirika Cubana inaonekana lina matatizo makubwa. Lichunguzwe.

The Boeing 737-201 aircraft was built in 1979 and leased by Cuban airline Cubana from a small Mexican company called Damojh, according to the Mexican government. Boeing 737 aircraft use engines made by CFM International, supplier of the world's most-used engines,

On Thursday, Cuba's First Vice President Salvador Valdés Mesa met with Cubana bosses to discuss public complaints about its service, according to state-run media, including numerous cancellations of domestic flights this year and long delays.

Earlier this month, the company was ordered to suspend flights of its six Russian built AN-158 aircraft, of which most had reportedly already been grounded, according to state-run media.
Cuba Wana vikwazo toka Marekani hivyo inakua ni vigumu hata kwa wao kupata spea za hizo Ndege.
 
Tuko pamoja nao ndg Wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote,cuba ni ndg zetu walijitolea sana kutusaidia Afrika na bado wanatusaidia mpaka Sasa.
Nalog off
 
Hivi yale makombora walioelekezea U.S. hawaja yaondoaga! au ilikuwaga uzushi?
Haha!! Yale yalipelekwa na USSR,yaliondolewa baada ya Makubaliano Kati ya US & Russia (USSR) kwamba Marekani iondoe Makombora yao yaliyopo Turkey na Italy halafu Russia iondoe Makombora yake yaliyopo Cuba
 
Ingependeza sana siku moja Uturuki ijiondowe kwenye Nato ! iungane na Russia na china!
 
Ingependeza sana siku moja Uturuki ijiondowe kwenye Nato ! iungane na Russia na china!
Haha!!! Hawezi maana anajua akijiondoa tu kutakua na harakati za Regime change ili awekwe kibaraka wa West. Erdogan mwenyewe alikoswa koswa kupinduliwa....
 
Daaa Ndege usafiri wa Kutisha sana.
Ndio maana jiwe haupendi !
likitikisika huko juu ni sawa na umeweka maji kwenye dumu una yatikisa ! ila ndio hivyo mkuu nina amini kifo ni lazima ila nina hisi cha kwenye ndege ni kibaya sana! likikatikia huko hewani kuna upepo mkali sana na mzito lazima ukuchane chane na kupasuwa masikio nina hisi ni mateso sana! ila ukiwa hewani ukiambiwa fungeni mikanda tunapita kwenye upepo mkali dah kitu kikiyumba mara tatu rubani ana rudia tena kama kuna ambaye ambaye hajafunga mkanda afunge !
Resistance ya upepo na pipa unavyo isikia inabidi uanze kuomba kiluga!! Rubani ana elekeza vilipo vifaa vya safety kwa ajili ya kujiokolea vipo chini ya set ila ana sisitiza usifunguwe mkanda !
Ana sema upande wako wa kushoto kuna mlango wa emergence !! una chukungulia nje uko zaidi ya futi 35000 kutoka usawa wa bahari !! unaona kila mtu, katulia kimya akuna anaye ongea na mwenzake !! jamani tumuelewage jiwe akigoma kupanda huo usafiri!!!!
Ndio maana watu wengi hujiweka sawa kama inavyo onekana kwenye picha ili kukabiliana na stress !!
tmg-article_default_mobile.jpg
 
View attachment 781500
Hatari Kweli mkuu bora jiwe aendelee kukataa kuzipanda.
 
Back
Top Bottom