Ndege ya China Boeing -737 Jetliner imepata ajali ikiwa na abiria 133

Ndege iliyoua watu wengi sana ni Dc10 kama sikosei , lakini baadaye ilikuja kupata reputation nzuri sana na hadi leo zipo za mizigo .
Boeing 737 zipo matoleo mengi sana , haya matoleo ya mwisho mwisho , ndo yamekuwa na ajali
Can u blame customers kwa kukosa imani?
 
Back
Top Bottom