Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jijini Mwanza abiria tumeshindwa kuendelea na safari leo

Status
Not open for further replies.
Jambo la kawaida kwenye mambo ya usafiri wa anga,huwezi kuzuia kuharibika..
Usijidanganye kutengeneza dreamliner siyo sawasawa na kufuga kuku mkuu. Kitu brand new ianze kupaki mapema yote hii hata gari tu haiwezekani. Tumepigwa.
 
Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jioni baada ya kufika jijini Mwanza haikuweza kuendelea tena na safari mpaka sasa tatizo halijukani .Baadhi ya Abiria kutoka Arusha kuelekea Dar es Salaam tumeshindwa kuendelea na safari leo.

Abiria zaidi 106 tumekwama Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport {KIA} kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuambiwa ndege Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo tulikuwa tunagemea kusafiri nayo kuelekea Dar imepata itilafu ikiwa Mwanza jana .Abiria wengine wengine walihamishwa kwenye ndege aina Bombadier Q300 waliendelea safari. Wengine tumebaki uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport mpaka muda wa saa tatu ambayo tumeambiwa tutaenda kwa kutumia ndege ya kampuni ya Fasjet.

Kulikuwa na taarifa ndege nyingine Bombadier kuharibika mwenzi wa pili sasa ipo Mwanza
Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner - JamiiForums

========

Updates;

Saa 21.45 Abiria zaidi 78 tumehamishwa kwenye ndege Fasjet kuendelea na safari kuelekea Dar es Salaam.
Fast jet itakuwa imeingia ubia na bombardier
 
Gari langu jipya siku ya tatu tu ilipata hitilafu mpaka fundi alipokuja kurekebisha. Hata binadamu huugua na kwenda hosp, sembuse ndege? Let us be positive asee!

Gari jipya au gari mtumba mkuu coz magar yote mnayinunua japan ni mtumba sasa mbona unaita jipya mkuu
Mtumba kuaribika ni kawaida sana
 
Tatizo la waranzania tunapenda sana kushabikia mabaya.utakuta mtu kila siku umuombea mwenzake limpate baya hili tu apate kuongea na kuzodoa.zuri hara siku moja halishabikii.tena kuna mijitu huonba hata watanzania wenzao wadondoke baharini na hio dream line mradi tu apate oja ya kumnanga raisi magufuri huo ni umasikini wa akili ndugu zanguni.

kumbe umeona mimi nashangaa hii roho mbaya ya kibongo mpaka kufikia hatua watu kuchekelea ndege ikiharibika hawajali kuwa Inabeba abiria mradi lengo lao limetimia badala ya kuchangia mawazo ya kujenga wanafurai ikitokea kufeli . Hawa ni kama wachawi
 
Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jioni baada ya kufika jijini Mwanza haikuweza kuendelea tena na safari mpaka sasa tatizo halijukani .Baadhi ya Abiria kutoka Arusha kuelekea Dar es Salaam tumeshindwa kuendelea na safari leo.

Abiria zaidi 106 tumekwama Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport {KIA} kuanzia saa tatu asubuhi baada ya kuambiwa ndege Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo tulikuwa tunagemea kusafiri nayo kuelekea Dar imepata itilafu ikiwa Mwanza jana .Abiria wengine wengine walihamishwa kwenye ndege aina Bombadier Q300 waliendelea safari. Wengine tumebaki uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport mpaka muda wa saa tatu ambayo tumeambiwa tutaenda kwa kutumia ndege ya kampuni ya Fasjet.

Kulikuwa na taarifa ndege nyingine Bombadier kuharibika mwenzi wa pili sasa ipo Mwanza
Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner - JamiiForums

========

Updates;

Saa 21.45 Abiria zaidi 78 tumehamishwa kwenye ndege Fasjet kuendelea na safari kuelekea Dar es Salaam.
Hii Ndege imeanza service kwa ajili ya kuanza safari za nje tarehe 25, tatizo ni ATCL iliwafanyia uhuni abiria wake ikaendelea kupokea wateja wake
 
Sawa Mimi sio kama wewe unashabikia tu Mimi nikiona jambo nauliza wahusika na ndio majibu yao
Kwa nini wasitoe official statement wakuambie wewe tu??
Nani kakuambia waandishi tumuulize ili habari hii ikamilike.!
 
Nyie chongeni tu! Mtabambikiwa kesi za uhaini mpaka mtaamua kuhamia chama dola.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom