Ndege ya asili... Made in Tanzania imeanguka usiku huu Sakina Arusha

Makaura

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
892
293
Kuna ndege ya asili iliyotengenezwa na watanzania na yenye uwezo wa kumbeba abiria mmoja tu imepata ajali maeneo ya Sakina Arusha usiku huu, kwa mujibu wa Radio 5 Arusha kupitia mwandishi wake Davis Rhonyagira, ndege hiyo ilikua na rubani tu na kwa bahati nzuri hakuumia kabisa japo ndege yake imesambaratika vipande vipande.

Amedai kuwa ametokea Msumbiji akielekea jiji la Tanga. Wakazi wa Sakina wamempa msaada wa nguo na bado wanaendelea kumfanyia mahojiano!

attachment.php
 
Pole zake mmiliki wa ndege hiyo kama imesambaratika kabisa ( beyond repair) hata hivo , kikubwa ni uhai wa rubani na abiria
 
Dah nilijua washkaji wametengeneza ndege ile inayopaa hata mchana kumbe ungo! Mbona atown ndege zinapata sana mushkeli nowdays?
 

Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom