Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
hahaha nimecheka sana.....
Aisee! mtu anauchuna na ujuzi wake huo mpaka anakufa nao.
hahaha nimecheka sana.....
Aisee! mtu anauchuna na ujuzi wake huo mpaka anakufa nao.
Zingekuwa nchi za wenzetu tungekuwa na vyuo vya uundaji wa ndege hizo, urubani na mambo mengine kibao na hivyo kuliongezea taifa pato kwani tungeuza ujuzi na product kwa nchi zingine pia. Ni roho mbaya sana.
hii route mbona haieleweki. yaani kutoka msumbiji kwenda tanga unapitia arusha?. au alikanyaga throto mno akapitiliza?
Helo vipi wewe? mbona unaweka picha za watu wenyewe wamo humu ndani? watakufuata usiku shauri yako Mwl.RCT
Atakuwa ni bilionea huyo pia!...aliishiwa mafuta?
Ndege zao hupata hitilafu kama ndege za kawaida tunazopanda hivyo kwao ni jambo la kawaida,kinachonishangaza zaidi mpaka leo ni inawezekanaje mtu kusafiri toka Msumbiji mpaka Arusha kwa haraka?Kwanini wasifanye usafiri huu kuwa wa kusaidia zaidi kuliko wanavyowanga?
Duh, sijui kama black box imepatikana kujua chanzo cha hitilafu.