Ndege wa rangi moja huruka pamoja; Zitto Kabwe achana na Mnyika, njoo CCM!!

Ama kweli ukiwa mwanasiasa unakuwa kama jalala. Watu watakuletea matatizo yao wakitaka utatuzi, wengine watakutukana, wengine watakupa ushauri wa kujinga, wote hao inabidi uwasikilize tu. Mhhhh, ama kweli, kua mwanangu uyaone.
Siyo magorofa, bali Mapimbi kama huyu mleta thread hii.

Huyu inaonekana uti wa mgongo ungalimtosha hakupaswa hata kupewa Ubongo maana kazi ya Ubongo kwa binadamu ni uwe na akili na kufiri vizuri. huyu hana mbele wala nyumba. tupingeni kwa nguvu zote ndoa za jinsioa moja zisiruhusiwe hapa kwetu otherwise watu kama hawa ni lazima wataolewa tu maana kuishi kwa kujipendekeza mwisho ni 2015.
 
Mi naona tutoke kuamini chama ni mtu, chama iwe taasisi yenye sheria na kanuni, kuamini mtu si kitu cha kudumu watu wana kufa na chama kitakuwepo tu
 
Heeee.....kisa Zitto ni mshikaji Na JK? Khaaaaa aende tu, CHADEMA itasonga mbele tu.
 
Title yako inajieleza yenyewe kwamba ndege wa rangi moja huruka pamoja, kwa hiyo si ajabu wewe kuwa na mitizamo finyu kama wanaCCM wenzako, maana wote mna rangi zinazofanana! Umeambiwa na Zitto kwamba haungi mkono kauli ya Mnyika? Na kwanini umtake Zitto ndo ahamie CCM na usimtake Shibuda ambaye ni mwanaCCM mwenzako? CCM wote akili zenu zinafanya kazi sawasawa no wonder nchi inazidi kuzidiwa na mzigo wa madeni huku hali ya maisha ya watanzania ikiendelea kudidimia.

ZZK hamuungi mkono JJM kwa kauli yake tata dhidi ya JK, amethibitisha hilo kwenye twitter. JJM amemfanya ZZK ajisikie kwamba yuko 'at the wrong place with some wrong comrades' kwa ukweli CCM ni mahala pake haswaaa!
 
Mbona CCM wanatatapa hivi? tehe!! tehe!! hehe!!


M
282223_336227283119272_90601204_n.jpg
nimeipenda sana hii, nimewakubali makamanda wa ukweli, message sent, CDM ni zaidi ya Zitto hata akitoka chama litasonga.
 
Hata ulete majungu ya kufa mtu huwezi kusambaratisha CDM, kwa taarifa yako hata sisi wapenzi wa CDM ni waelewa zaidi ya ufikiriavyo. Hapa unataka tumtusi Zitto na haitatokea kichaa akafukuzana wewe mwendawazimu. Think before open!!!!!!!!
 
Siyo magorofa, bali Mapimbi kama huyu mleta thread hii.

Huyu inaonekana uti wa mgongo ungalimtosha hakupaswa hata kupewa Ubongo maana kazi ya Ubongo kwa binadamu ni uwe na akili na kufiri vizuri. huyu hana mbele wala nyumba. tupingeni kwa nguvu zote ndoa za jinsioa moja zisiruhusiwe hapa kwetu otherwise watu kama hawa ni lazima wataolewa tu maana kuishi kwa kujipendekeza mwisho ni 2015.

tumuombe mwenyezi Mungu atuweke hai, 2015 si mbali sote tutavuna tunachopanda!!
 
historia ya ZITO na CHADEMA huijui ,unakurupuka tu kama kinyonga aliyekimbizwa na moto nyikani .OPEN YOUR MIND......DO NOT SCAN ON THE AIR.
 
Back
Top Bottom