Ndege vita za Israel zashambulia ndani ya Syria

Duh.... So kwa Chumvi hizo hata Sputnik wana chumvi ila hiz kiboko.
hiyo ni Russia insider ila wamequote habari karibu yote toka gazeti la israel ka haaretz..

Usidhani kila mtu ana muhemuko wa kishabiki kama wako,kuna magazeti hukohuko kwa jamaa zako wayahudi yanapinga vitendo vya israel kushambulia nchi za watu bila sababu za msingi
 
Sasa kama ni hao hao Waamerika mbona wanawaua rafiki zao Waingereza,Wajerumani na Wafaransa?
Hivi tangu lini Marekani akawa na rafiki wa kudumu.....??

Na hao Magaidi si kwa Marekani pekee ndio waliowasaidia kifedha na silaha bali hata hao washirika wao nao wapo katika kundi hilo.

Kwa hiyo kinacho watokea ndio faida yao kwa walichokipanda
 
hiyo ni Russia insider ila wamequote habari karibu yote toka gazeti la israel ka haaretz..

Usidhani kila mtu ana muhemuko wa kishabiki kama wako,kuna magazeti hukohuko kwa jamaa zako wayahudi yanapinga vitendo vya israel kushambulia nchi za watu bila sababu za msingi
Hv kati ya Me na wewe nani ana mihemko?!, Half hyo Haaretz la lini coz Mara nyingi sana nalisoma.
 
Vita kama ni peke yako as Israel na taifa la Syria ama Egypt huwezi kabisa kabisa bila ya back up from American no way..
IMG_20170324_183159_317.JPG
994050c4475867fed51b88d5ddbb3193.jpg

Unakumbuka jana nilikwambia kwamba haitochukua mda mrefu kwa Israel kushambulia tena Syria. Sasa hyo ni Leo kashambulia tena.
Elungata nankumene MTOTO WA KUKU
 
n
Nauliza tena s200 na s300 na s700 kama ipo zimezimwa au mbovu....!?
kwa iyo mnataka s300 au s400 ifanyeje maana urusi yeye hana tatizo na israel,na israel hana tatizo na urusi.iyo mitambo ni kw ajili ya ulinzi wa base za urusi ndo maana israel ajaenda kushambulia kweny base za urusi,yeye alienda kuwapig hezbollah
 
Jamani syria si inalindwa na na mitambo kutoka Urusi....vipi kivuruge anapiga anavyotaka huko syria?
 
ni kweli siraha nyingi zinadondokea kwenye mikono ya hezbollah alafu baadae israel inawapa lawama warusi
Syria akiacha kutumika na Iran km chambo kupeleka silaha kwa Hezbollah bhas Israel hatokua na sababu ya kushambulia Syria ila as long as Syria anaendelea kupeleka au kuhifadh silaha za Hezbollah bhas israel ataendelea kuishambulia hata km wakinunua S500.
 
Back
Top Bottom