Ndege nyingi zina divert kwenda KIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege nyingi zina divert kwenda KIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbweka, Nov 2, 2011.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kuna jamaa yangu yupo kilimanjaro akiwa pale kia kuna ndege kama tatu zimeelekezwa kutua KIA, Sijui zinatokea Jomo Kenayatta ama Julias Nyerere na Je Kuna nini kimetokea na kusababisha diversion hiyo? Mwenye habari zaidi naomba atujue

  Mpaka sasa ameseama Kuna South African Airways, Emirates na Lufthansa
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  bora leo kia ipate ndege kubwa kubwa!imesahaulika sana mpaka kenya wameamua kujenga uwanja taveta
   
 3. m

  maskin Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  kama kuna luftansa yaweza kuwa nairobi sina uhakika kama ndege hiyo ya wajerumani huwa inakujaga tz likely nairobi sio dar labda alshabab washafanya mambo yao
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  huwa inakwenda dar lakini sio mida hii bali usiku. Kweli yaweza kuwa nrb
   
 5. Mwache77

  Mwache77 Senior Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Alishababi kenya kumechafuka huko mm nipo kia hapa ila abria hawajashuka
   
 6. ULUMI

  ULUMI Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anga ya NRB iko kwenye hali ya hatari-Kenya wako vitani wanatumia uwanja wa Jomo kwa ndege za kijeshi. Za kigeni zinaelekezwa KIA
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kumbe basi hata uchumi wa kenya utaathirika sana
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lufthansa haiji Tanzania siku hizi, inashia Nairobi. Kwa hiyo inawekezekana Nairobi Airport kuna problem hasa kipindi hiki wanapopigana na Al-Shabaab.
   
 9. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Mwenzio akinyolewa..........
   
 10. S

  Somi JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
 11. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mi nilifurahi nilifikiria Nchi imesha pinduliwa.Kumbe matatizo sio Tz.
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kuna mtu wa Nairobi amenidokeza kwamba inaweza kuwa imesababishwa na vitu viwili...
  1) Tangu leo asubuhi kumekuwa na Mgomo (Go Slow) wa Traffic Controllers ambao umesababishia ucheleweshaji wa kuruhusiwa kutua .
  2)Hali ya hewa ya Nairobi kwa kipindi hicho ndege zilipodivert, ilikuwa mbaya na kulazimu ndege hizo kuelekezwa viwanja mbadala...
  Nikipata taarifa zaidi, nitawajulisha
   
 13. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  TZ na urasimu wao mbaya ndio wajifunze sasa na ku take over hiyo biashara kipindi hichi cha matatizo ya huko Kenya! Ingekuwa haya mambo ya vita yanatokea tz, am sure jamaa wangekuwa wameshachukuwa biashara zote!
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sio kufa kufaana........
   
 15. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
 16. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
   
 17. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  watwangane tu sisi tufaidi hao watalii, kenya washatuibia sana watalii wetu na mlima wetu
  kufa kufaana. ile skendo ya ATC kukataa ubia na KLM na kuejengewa uwanja wa dar leo tungekuwa mbali kama kenya
  wacha na tz ifaidi bwana lol
  sii kweli kuwa hakuna hoteli karibia na KIA tunaposema karibi manake hata moshi mjini au arusha nk hata hai zipo kote huko ni akribia na KIA
  nadhani site inasema no hotel found kwa vile haziko online hizo hotel wakashindwa kutrace.
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Come on now! kama ni mlima maarafu duniani kwa nini hizo hoteli zilizo karibu na KIA zisiwe kwenye sites???? Jawabu ni uzembe wa wizara ya utalii na serikali period.
   
 19. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #19
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
   
 20. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #20
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
   
Loading...