Ndege mpya ya recission bomu? liko Nairobi wiki mbili sasa!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Sitaki kusema sana
naamini wa precison mnajua hii ndege iliko na inafanya nini??
Je mpaka mnaleta ndege inakaa tanzania wiki mnapeleka nairobi kwa matengenezo
hamuoni kuna mushkeli na baadhi ya member wa management kuwajibika??mmekuwa airbus ya atcl jamani
mbona watuaibisha??na kilichofanya ndege kubwa iliobaki paz kuacha nairobi rte sababu zakiusalama ni nini??
Embu tujuzeni
 
Hivi waliinunua wapi? Isije ikawa yale yale ya kununua mtumba kutoka another third world country. Kama ni Boeing mbona hawakwenda Marekani?
Angalau kule hata kama imeshatumika wana viwango vya juu vya servicing nha maintenance.
 
Wanauwezo wa kununua boeing mkuu .ile kampuni awajuiten per kamuulize smith aliwaletea atcl boeing com wakadai hongo wakachomoa else wangekuwa wanacheza na boeing kwenda mbele ati wakadai wanahitaji airbus nyoooooooooooo mavi yaoooooo serikali
uliza ilipo??
 
Pdiddy
hiyo ndio ile inayopiga route za sauzi ama ni nyinmgine?? sasa hizo route za dola 57 zipo ama szimesimama kwa sasa? kwa ujumla nilishapoteza imani na precision air tangu ndege niliyopanda toka mwanza ilipoharibika mfumo wa hewa tukiwa angani na ikabidi turudishwe mwanza kwenda kulala kwa lazima, sina hamu nao tena hawa jamaa na ndege zao.
 
Back
Top Bottom