Ukana Shilungo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 3,041
- 2,422
ah
ahaaaa umenichekesha sana !My brother from Namahema. Tukutane mbekenyela mzee baba
ahaaaa umenichekesha sana !My brother from Namahema. Tukutane mbekenyela mzee baba
Dreamliner pekee wanazo 19 na 787 - 9 ziko 3 na zingine nyingi tu ndo Shirika KUBWA kuliko yote Afrika. Wanaujuzi na facilities za kuhudumia ndege zao na za wengine bila wasi. Hii ni ajali tu ya ndege ndogo, ingekuwa mbaya zaidi kama ingekuwa zile KUBWA.
leo nipo hapa RUANGWA EXECUTIVE nakula bia kidogo jioni narudi MBEKENYERAah
ahaaaa umenichekesha sana !
Mkuu Hiyo ni Breaking news so imetoka dakika chache zilizopita so muache mleta mada afuatilie ya zaidi ataleta news acha ukuda
ok leo nipo hapa excutive ruangwa nakula bia kumalizia WIKEND jioni nitarudi MBEKENYERAMy brother from Namahema. Tukutane mbekenyela mzee baba
Hongera yako wewe mwenye passport. Watu wasiojielewa utawajua tu. Mambo ya chato na passport yanaingiaje hapa. Kama hujui ziba domo lakoProbably hata passport huna Na hizo ndege haziendi chato wala mwanza utaipandaje sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege ikiwa mpya ni hatari, mwaka jana mwishoni lion's airlines ilikuwa na miezi mitatu toka kiwandani, ikaanguka Jakarta baharini dakika nne baada ya kutoka airportNasikia hii ndege imenunuliwa yapata miezi 4 iliyopita!!! Ilikua bado mpya
Sasa ufikiri Na kufanya ua research before uwape Watu matango pori eti ndege zinajazwa kupita kiasi.. Si Mwendokasi kasi services za BRT hizoHongera yako wewe mwenye passport. Watu wasiojielewa utawajua tu. Mambo ya chato na passport yanaingiaje hapa. Kama hujui ziba domo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ufikiri Na kufanya ua research before uwape Watu matango pori eti ndege zinajazwa kupita kiasi.. Si Mwendokasi kasi services za BRT hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko majini nikipafikiria pale nungwi natamani nipande ungo.Wakati mwingine bora usafiri wa majini ni salama zaidi
Umecomment pumbaWakati mwingine bora usafiri wa majini ni salama zaidi
Wewe nawe muongo tu Boeing 787 unaijua ?Usitukane ndugu. Ile si Airbus. Ni Boeng 787
Hata Mimi naona we are not speaking on the same level. Wewe uko kwenye udhanifu wakati kinachotakiwa ni uhalisia wa jambo..Habari ya mwendokasi inaingiaje hapa. Mie sio level yako na usiniquote tena. Mie nilimuuliza britanica sio wewe. Usiingilie yasiyokuhusu tafadhari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi naona we are not speaking on the same level. Wewe uko kwenye udhanifu wakati kinachotakiwa ni uhalisia wa jambo..
Na ukweli ni kuwa ndege kabla ipae kuna safety precautions zachukuliwa ikiwemo ya idadi ya abiria Na mizigo based on capacity ya ndege
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupotea dakika ya 6 baada ya kupaa haiwezi kuwa imefika 200 Knots achilia mbali 800 ...Ndege jinsi zinavyokimbiaga zingine zinafika mpaka 800 knots sidhani kama kuna mtu atakua ametoka humo
Umecomment pumba
Kwani unafahamu ndege hua inapaa ikiwa na knots ngapi?Kupotea dakika ya 6 baada ya kupaa haiwezi kuwa imefika 200 Knots achilia mbali 800 ...
Unless iwe ilikuwa ina cruise hapo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app