Ndege mpya ya Ethiopian Airlines - Boeing 737 - 8 MAX yaanguka na kuua watu 157 ikielekea Nairobi, Kenya

Dreamliner pekee wanazo 19 na 787 - 9 ziko 3 na zingine nyingi tu ndo Shirika KUBWA kuliko yote Afrika. Wanaujuzi na facilities za kuhudumia ndege zao na za wengine bila wasi. Hii ni ajali tu ya ndege ndogo, ingekuwa mbaya zaidi kama ingekuwa zile KUBWA.

Ni kweli kaka me nimetoka na latest boeng ya 788 kutoka Addis kwenda Guarlous sào paulo hawa jamaa wapo vizuri mfano hii dreamliner ambayo sisi tumenunua juzi wao walishakuwa na series hii tangu 2011


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Hiyo ni Breaking news so imetoka dakika chache zilizopita so muache mleta mada afuatilie ya zaidi ataleta news acha ukuda

Ukisikia muda mfupi baada ya kuruka huwa haponi mtu, ila ukisikia imeanguka ikijaribu kutua hapo huwa manusura wanakuwepo. unajua kwa nn. muda mfupi baad aya kuruka ndege huwa ina mafuta lita za kumwaga tuna yale mafuta huwa yanalipuka balaa so ikianguka tu hutokea moto mweusi tiiiiiiii, na ndege inapokaribia kutua huwa inamafuta kidogo sana ya kuiwezesha itue na kwenda kwenye parking salama, na kama yamebaki mengi huwa yanamwagwa kabla ya kutua.
 
Habari ya mwendokasi inaingiaje hapa. Mie sio level yako na usiniquote tena. Mie nilimuuliza britanica sio wewe. Usiingilie yasiyokuhusu tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi naona we are not speaking on the same level. Wewe uko kwenye udhanifu wakati kinachotakiwa ni uhalisia wa jambo..
Na ukweli ni kuwa ndege kabla ipae kuna safety precautions zachukuliwa ikiwemo ya idadi ya abiria Na mizigo based on capacity ya ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umecomment pumba

STUNTER ameongea pumba na mie niongezee kwenye orodha hata kama sijasema kitu.

Kwangu binafsi bora ya meli au boat za muundo kama hizi za Azam (Catamaran) kupata ajali kwake ni nadra, na hata ikitokea, uwezekano wa kupata majeruhi mkubwa.

Ndege hitilafu ikitokea kusalimika ni muujiza. Chombo cha majini kinaweza kukorofisha mkaelea hadi kuja kuokolewa, ndege hakuna pa kuipaki mkisubiria msaada.

Naunga mkono hoja, wakati mwingine ni bora usafiri wa maji kuliko wa anga.
 
duuh
Screenshot_2019-03-10-14-28-25.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom