Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Tarehe 19 September 2019 serikali imeingia mkataba wa kununua ndege 2 zaidi aina ya Airbus A220-300 ambazo gharama yake haipungui 91.5milion kwa kila moja, jumla million 183usd. Hizi ni zaidi ya billion 360 za kitanzania.
Kwakuwa tuna raslimali pesa chache, je hiki ndo kilipaswa kuwa kipaumbele cha serikali yetu kwa sasa?
Mpaka sasa tuna ndege saba. Tunahitaji na hizi mbili zingine? Hizi saba zimechangia kiasi gan kwenye uchumi wetu?
Toka rais kaingia madarakan, hajawahi kuongeza mshahara hata mara moja. Ametoa annual increment mara moja tu wakat sheria inaitaka serikali itoe kila mwaka..
Kwa maoni yangu, kuna tija zaidi kiuchumi kumlipa mfanyakazi stahili zake kuliko kununua ndege. Unaponunua ndege unachukua pesa ya ndan unampelekea mzungu. Ukilipa wafanyakazi wako hela inasambaa kwa kila mwananchi na kusisimua uchumi.
Mheshimiwa rais, kama huwezi kuwaboreshea maslahi wafanyakaz, basi angalau wapandishe madaraja na kuwapa mishahara mipya waliojiendeleza kimasomo. Kujiendeleza kimasomo kunalazimu mambo mengi yasimame kifamilia na kiuchumi. Wape stahili zao.