Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar, jumapili

Sidhani kama mungu ni kiziwi ameshaskia. Tafdhari kesho mumpumzishe mungu au mmoja tu aombe kwa niaba ya wote.

Sidhani kama kesho kuna ulazima wa kuomba kumuombea yeye wiki nzima as if yeye ndo kaumbwa tu.
 
Aise tangu imeondoka canada tangu wiki iliyopita mpka leo haijafika tu?
 
Kesho tunaungana na Mh Rais katika mapokezi ya ndege zetu ikiwa ni kuunga mkono juhudi zake katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM tuliyomkabidhi kama mgombea wa Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015. Kwakweli anaitendea haki ilani tuliyomkabidhi kwani tunashuhudia kwa wiki mbili anatekeleza majukumu makubwa manne kwenye Ilani yetu. Moja ni utiwaji wa saini mkataba, wa ujenzi wa mradi wa umeme wa Stiglers gorge, Mbili ni uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa upanuzi wa barabara njia sita kutoka Kimara mpaka Kiluvya, Tatu ni uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Daraja la Sallender bridge, Nne ni mapokezi ya ndege mbili mpya. Hii ni spidi kubwa ya utendaji kazi ambayo hatujawahi kuishuhudia. Tuungane pamoja katika mapokezi ya ndege hizo
 
Back
Top Bottom