MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,481
- 20,423
Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabarani
Dreamliner vipi maendeleo yake? Ishu sio kutua tu, zinakuja kuwabeba kina nani na ktk kuwabeba hao je kuna faida ila cha msingi ni kusema tu na sisi tuna ndege bila kujali zina faida au laa.Shetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Ngoja waje wapanda ndegeShetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096
Hapo bado hatukabeti mechi za soka.Kwahiyo ndo mnataka tupige ramli zinatua lini? Jamani mbona mnatupa taabu sana sisi watanzania wanyonge? Au mnataka tubet mpaka safari za ndege? Wekeni dau.
Why not on boxing day!
Kwahiyo tutegemee serikali kuwa Airport hii December?
Kuna Odds ngapi tarehe 18 hebu angalia kama zinafika 2.8 nilipuke nazo mazimazima.Kwahiyo ndo mnataka tupige ramli zinatua lini? Jamani mbona mnatupa taabu sana sisi watanzania wanyonge? Au mnataka tubet mpaka safari za ndege? Wekeni dau.
Zitto sikuhizi kaamua kujikalia kimya kuhusu ndege maana alitudanganya kweli! Mara terrible teens sijui mara nini sijui kapwaya mpaka basiShetani hajawahi kushinda popote pale,kuna watu wasipopata msaada wa kisaikolojia wataanza kuongea wenyewe barabaraniView attachment 963096