Ndege kubwa kiasi gani yaweza kutua Nduli?

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,831
1,296
Natamani kujua kwenu wataalamu ni ndege ya ukubwa gani i.e inayobeba abiria wangapi ya kiraia inayoweza kutua Nduli?
 
Unataka kuwekeza kwenye usafiri wa anga?Kabla hujafikiria ukubwa wa ndege jiulize ni "wagaya sida" wangapi watapanda hiyo ndege.
 
Nduli ndio wapi?

Nduli Airport.......Iringa

Unataka kuwekeza kwenye usafiri wa anga?Kabla hujafikiria ukubwa wa ndege jiulize ni "wagaya sida" wangapi watapanda hiyo ndege.

Wagaya sida ....kama jamii yoyote duniani nao wamepiga hatua kiuchumi lakini siwalengi wao peke yao, mji wa Iringa umekua na ongezeko la wakazi ni kubwa nazaidi naangalia katika kukuza utalii wa kusini.................niweze kusema DREAMING OUT LOUDLY! hahahaha!
 
nilibahatika kupita hapo Nduli sometimes back ( long time in 80's) . Nina uhakika wa wa carravan
c-208 ya abiria 13.
sina uhakika na ndege ya serekari fokker 50 inayochukua takriban 50. kwa uhakika ndege ya Raisi haiwezi kutua nduli. nadhani nimekusaidia...All in all let me check the manuals.
 
kama 50 hivi

Asante! NIlikuwa naanagalia kuwa direct flights za from Dar na KIA kuferry watalii wakati wa msimu
Nadhani 50 ni reasonable.

Kuna picha hapa JF zikiionyesha hii ndege imetua uwanja wa nduli..........labda changamoto waliyonayo ni gari la kuzimia moto! Asante nasubiri uchunguzi wako.
 
mkuu hata zile ndege za KLM zinazotua KIA si kwamba unakuta imebeba watalii pekee, mule unakuta watalii ni thelusi ya abiria wote,
 
Karibu ndugu kawekeze tu wako watu wengi tu wenye biashara zao misitu, mashamba na watalii ambao wangeshukuru kusafiri kwa masaa machache na kurudi Dar yaliko makazi yao. Hizi ajali zisizoisha pia zitafanya abiria wawe wengi tu.
 
Natamani kujua kwenu wataalamu ni ndege ya ukubwa gani i.e inayobeba abiria wangapi ya kiraia inayoweza kutua Nduli?

IMG_0764.JPG

hii ndege alitua nayo Pinda hapo nduli.
 
Asante! NIlikuwa naanagalia kuwa direct flights za from Dar na KIA kuferry watalii wakati wa msimu
Nadhani 50 ni reasonable.

Kuna picha hapa JF zikiionyesha hii ndege imetua uwanja wa nduli..........labda changamoto waliyonayo ni gari la kuzimia moto! Asante nasubiri uchunguzi wako.

a2.jpg

hii hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom