Ndege ishirini zinapita Anga la Mbozi Mbeya

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
265
106
Wakuu Niko hapa vwawa mbozi nimeona ndege zaidi ya ushirini zikikatiza anga hili wenye taarifa tunaomba watujuze.
 
Wakuu Niko hapa vwawa mbozi nimeona ndege zaidi ya ushirini zikikatiza anga hili wenye taarifa tunaomba watujuze.
Ni vintage air rally mkuu. Ni marubani wanaorusha ndege za zamani wana-cross bara la Afrika. Wanaelekea Zambia, Zimbabwe, Botswana na mwisho Afrika Kusini. Kijivu kilichokolea kwenye ramani ndio nchi walizopita na kutua kujaza mafuta na kupumzika. Unaweza kusoma zaidi hapa VintageAirRally - Home
ukplane.jpg

maps_website_copy.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom