Ndege ishirini zinapita Anga la Mbozi Mbeya

  • Thread starter Kapepa Maswanya
  • Start date

K

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
265
Likes
89
Points
45
K

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
265 89 45
Wakuu Niko hapa vwawa mbozi nimeona ndege zaidi ya ushirini zikikatiza anga hili wenye taarifa tunaomba watujuze.
 
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,953
Likes
2,650
Points
280
Tony antony

Tony antony

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,953 2,650 280
9/12 maandalizi
 
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
8,661
Likes
5,711
Points
280
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
8,661 5,711 280
Wakuu Niko hapa vwawa mbozi nimeona ndege zaidi ya ushirini zikikatiza anga hili wenye taarifa tunaomba watujuze.
Ni vintage air rally mkuu. Ni marubani wanaorusha ndege za zamani wana-cross bara la Afrika. Wanaelekea Zambia, Zimbabwe, Botswana na mwisho Afrika Kusini. Kijivu kilichokolea kwenye ramani ndio nchi walizopita na kutua kujaza mafuta na kupumzika. Unaweza kusoma zaidi hapa VintageAirRally - Home

yokohama yokozuna

yokohama yokozuna

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
326
Likes
110
Points
60
Age
47
yokohama yokozuna

yokohama yokozuna

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
326 110 60
Labda kuna vita malawi
 
Makuku Rey

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Messages
1,824
Likes
1,174
Points
280
Makuku Rey

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2013
1,824 1,174 280
ndege za kivitaa au mapanga boya?
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
24,259
Likes
55,144
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
24,259 55,144 280
Mbeya kuna Barabara ya ndege
 
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Messages
16,769
Likes
21,897
Points
280
MO11

MO11

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2014
16,769 21,897 280
Maandalizi ya kupatwa kwa jua
 
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Messages
57,587
Likes
31,137
Points
280
miss chagga

miss chagga

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2013
57,587 31,137 280
tisa disemba
 
K

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Messages
265
Likes
89
Points
45
K

Kapepa Maswanya

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2015
265 89 45
Ni vintage air rally mkuu. Ni marubani wanaorusha ndege za zamani wana-cross bara la Afrika. Wanaelekea Zambia, Zimbabwe, Botswana na mwisho Afrika Kusini. Kijivu kilichokolea kwenye ramani ndio nchi walizopita na kutua kujaza mafuta na kupumzika. Unaweza kusoma zaidi hapa VintageAirRally - Home

Sawa mkuu nimekupata sana sana
 
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Messages
1,290
Likes
464
Points
180
P

Penguine

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2009
1,290 464 180
Ni vintage air rally mkuu. Ni marubani wanaorusha ndege za zamani wana-cross bara la Afrika. Wanaelekea Zambia, Zimbabwe, Botswana na mwisho Afrika Kusini. Kijivu kilichokolea kwenye ramani ndio nchi walizopita na kutua kujaza mafuta na kupumzika. Unaweza kusoma zaidi hapa VintageAirRally - Home

Thanks kwa ufafanuzi
 
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
2,295
Likes
3,319
Points
280
kulubule

kulubule

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
2,295 3,319 280
Wakuu Niko hapa vwawa mbozi nimeona ndege zaidi ya ushirini zikikatiza anga hili wenye taarifa tunaomba watujuze.
Mwanangu home huko niliondoka kitambo kula bata msumbiji leo jmos mnada vipi hapo vwawa bado upo? Naomba nichukulie namba ya chaula unipe
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
10,749
Likes
8,156
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
10,749 8,156 280
Last week wqlikuwa Zanzibar na wanaelekea SA ndio safari yao ya mwisho.
Ni marubani wa ndege za kizamani wako 21
 
Forum statistics

Threads 1,272,942
Members 490,211
Posts 30,465,304