Ndege ipi ina huduma nzuri kati ya Kenya airways vs Rwandair

Uzuri wa ndege ni mpk ufanye booking ndio utajua aina ya vessel inayokubeba watengeneza ndege ni walewale hayo makambuni ya usafirishaji ni majina tu. Fanya booking utajua chombo itakayokubeba maana kuna Boeing, Airbus mpk Bombardier
 
KQ ni ndege uchwara kwa sasa,

1. Wanauza bidhaa feki kwenye ndege zao mfano, saa, mikufu, na perfume.

2. Mizigo inaibiwa / kupotea au kupakiwa au mzigo kubadilishiwa ndege inayofuata baada ya KQ hii hupelekea usubirie mizigo yako zaidi ya saa moja mfano pale JNIA.

3. Ndege zinachelewa nusu saa hadi masaa 3.

4. Ndege zina hitilafu kila siku mara haiwezi kuruka, mara ishindwe kutoa tyre la mbele.

Yaani kwa sasa KQ ni vuluvulu bora upande vibajaji vya rwandaair.
 
Jamaa kaulizia huduma za vyakula na vinywaji ndegeni wewe unaleta habari ya kuibiwa malonya uliyonunua Guanzuuu
Acha utoto jamaa kaulizia huduma na sio msosi pekee, kumbuka jamaa kasema yeye ni mfanya biashara na anaenda kufata mzigo so unatataka mzigo upotee? Jamaa anataka huduma nzuri, security yake na mizigo yake pia ni huduma anoyohitaji kuhakikishiwa kabla ya safari
 
Haya mkubwa nimekusoma hata mm siku nimepata senti nataka nikale bata Dubai nipande Rwandair
 
Back
Top Bottom