Ndege inayopaa yatunguliwa na Kasungura Ketu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege inayopaa yatunguliwa na Kasungura Ketu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bill, Feb 11, 2008.

 1. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2008
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,171
  Likes Received: 1,255
  Trophy Points: 280
  Wiki iliyopita Tanzania imepitia katika mtihani mkubwa na kupiga hatua kubwa za kisiasa baada ya kushudia Ndege kubwa ya Uchumi iliyokuwa inapaa ikitunguliwa na Kasungura ketu hadi kufilia kuzimu ambako haiwezi kunyanyuka tena. Ndege hii ya Mh. Lowasa iliyokuwa ikiruka katika anga isiyoruhusiwa ikiwa na abiria wachache tu wa daraja la kwanza ilishuhudiwa ikidonndoka kwa kishindo kikubwa kufuatia kugongana na kasungura ketu. Rubani wa ndege hiyo alionekana kuwa msanii.

  Sasa ndege ya Lowasa iliyokuwa inaruka ikiwaacha abiria wakiduwaa vinywa wazi ndio imefikia ukomo wake, pamoja na Kasungura ketu ambako abiria waliachiwa wa enjoy mkia huku rubani akijinafasi na minofu sasa imefikia Tamati. Je ni kipi kinafuata baada ya hapo????????
   
Loading...