Ndege inaweza paa injini ikizima angani??

The Tomorrow People

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
2,662
2,744
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.

Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???

Naomba kujuzwa.
 
Momentum yake iliiwezesha kuendelea na safari, pia kiwanja kilikuwa karibu. Pia kufeli kwa injini hakumaanishi kwamba kila kitu kinafeli.
 
mmm sina uhakika na hilo maana itakuwaje injini zote zizime wakati hutumika mojamoja?
hata ivyo injini ikizima ndege huendelea na safati kwa mda mfupi tu.
Hivyo inawezekana, ila hapo kwwnye kusema injini zote zilizima mmm
 
Unachosema ni sahihi mana ndege wameweka engine zifanye kazi kila moja kwakutegemea energy or power source yake, kwahiyo ni ngumu sana engine zote zikazima.

Na kama ikitokea zote zimezima ndege inakuwa nzito ila inaweza kwenda upande wowote isipokuwa kwenda juu tena, lakini itaendelea kumove kulingana na its initial velocity.
Siku hizi ndege zinabackup system inayoweza kupressurize system nzima.
 
Injini zikizima ndege lazima ianze kushuka chini na itakuwa ikiendeshwa zaid na muelekeo wa upepo kuliko na rubani, ndege ikizima injini rubani anaweza kuingoza ndege kwa manual system ambazo hazitampa uwezo wa kuipeleka ndege mbele maana hiyo ni kazi ya injini. ndege itaanza shuka chini taratibu rubani anaweza kuilekeza manualy shuke bila kuleta athari kubwa hasa kama atakuwa yupo karibu na bahari, ndege inaweza tua baharini na ikapunguza idadi ya vifo, kama itakuwa msituni hapo ni hatari sn, ila inaweza tua barabara ya magari na sehemu yoyote ile tambarale iciyo na miti mikubwa na kupunguza athari, shida ni kuwa ikishazima injin hata rubani anapoteza ujasiri wa kuingoza ndege
 
Mhhh hapo siwasomi kabisa, nini kitaiwezesha kutembea pasipo injini kufanya kazi jamani

Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.

Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.
 
Kuna uwezekano wa kusogea kwa maili chache kutokana na hali ya hewa na pia ilikuwa umbali gani,kuna ndege nime iona katika movie moja ina engine ya dharula na ipo karibu na mkia kwa chini.Tatizo ni kwenye kutua tuu.Hata kama imefika kwenye uwanja ile nguvu ya kusukuma upepo haita kuwepo,bali itadondoka tuu.
 
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.

Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.

Unataka kujua system ya ndege ya obama ukiwa kama nani?
 
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.

Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.

kuna kichumba special kwa rais,ndege ikipata hitilafu na haiwezi okolewa wanamkimbizia humo,kisha chumba kinajidetach(kujitenga) na ndege na kuanguka pekee yake kikiwa suppoted na miamvuli kupunguza kasi ya impact kitapoanguka chini.
 
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.

Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???

Naomba kujuzwa.

inawezekana. hii huitwa gliding. ila hutegemea spidi ya ndege wakati engine zinazima. pilot hulazimika kuishusha ndege chini (decend, kupunguza altitude) maana juu sana kuna thin atmosphere hivyo uplift ni ndogo.ndege kubwa zina huo uwezo
 
Speed ambayo ilikuwanayo mwanzo.
Lakini haitaweza kuendelea na speed ile ile katika level moja.

Ndege ya Obama ndo huwa ina niumiza sana kichwa kujua backup system yake ikoje, mana secret service wako makini sana.

Mkuu umenichanya maelezo yako na hiyo avatar hapo
Kwanini ndege ya Obama inakuchanyanya?unataka kuijua sana ili nini?
 
kuna kichumba special kwa rais,ndege ikipata hitilafu na haiwezi okolewa wanamkimbizia humo,kisha chumba kinajidetach(kujitenga) na ndege na kuanguka pekee yake kikiwa suppoted na miamvuli kupunguza kasi ya impact kitapoanguka chini.

Bora umewapa jibu ila ikapata hitirafu harafu yuko iraq au syria watu wata shangilia sana
 
mhhh hapo siwasomi kabisa, nini kitaiwezesha kutembea pasipo injini kufanya kazi jamani
=gravitation force....itaendelea huku ikipungua ''height'' mdogo mdogo.
Pia ''aero dynamic mass balance'' itahusika...ni somo pana kidogo.....marubani huwa wanaifanya sana hii kwenye masommo yao...ndege huzimwa kabisaaa na huendelea kwa urefu kadhaaa na hata kutua...
 
Bora umewapa jibu ila ikapata hitirafu harafu yuko iraq au syria watu wata shangilia sana

hata kikidodokea iraq hicho kichumba tayari US Airforce itafika kumuokoa,kwani ndege huwa hazichezi mbali na ilipo Airforce one.
 
Back
Top Bottom