The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,662
- 2,744
Wakuu habari!!
Wiki iliopita niliona documentary Nat Geo. Kuna ndege ya Canada 2001..ikiwa na abiria ilipata hitilafu angani na injini zote zilizima lakini pamoja na hayo iliweza kutembea kilometre 100 na kutua Salama uwanja wa ndege.
Sasa sijaelewa ni ilikuwaje ikafanikiwa kuendelea na safari bila injini???
Naomba kujuzwa.