Ndani ya SCOAN 29 Dec

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,530
13,467
1: Rais wa Malawi ndani ya nyumba ya ibada
2: Deligates kutoka South Sudan, wamekuja na barua kutoka kwa rais akishukuru na kuomba sala zaidi kuhusu unrest iliyopo. Sala imeendeshwa ya cease fire Now.
3: Mwaka 2014 ni 'bridge' year
4: Mataifa madogo yatainuka na makubwa yataporomoka.
5: Opressers next year is not their year.
 
Neema ya Mungu iwe nasi sasa na hata milele. Amen
 
Nimeipenda no 5 hiyo ya oppresseurs nikiamini hata wa Tanzania hawana nafasi coming next year, n'a since ni bridge then 2015 nchi itakombolewa.
Cc: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
MUNGU akubariki sana kwa updates zako coz huku Emanuel t.v ina scratch kweli
 
Ubarikiwe sana,kwa kutupatia taarifa,ila huyu rais wa malawi sijui kafuata nini huko,maana huyu mama ni mnafiki sana!
 
MUNGU akubariki sana kwa updates zako coz huku Emanuel t.v ina scratch kweli

Jonathan, tatufa dish dogo utapata kitu bila chenga na kama unalo tafuta Fundi akurekebishie,
Kinachoendelea sasa hivi kuna mtanzania anaitwa Mohammed ameombewa alikuwa na tatizo la kutokusikia kwa muda wa miaka miwili ameombewa na kupona kabisa
 
Sasa baada ya huo ujumbe wa South Sudan kufika hapo church na kukiri juu ya unabii aloutoa TB Joshua kwa nchi yao kutokea uasi huyu anayejiita mzee wa upako ataficha wapi upo wake???

Mungu na akuongeze TB Joshua
 
Namuona ndugu Mohamed toka Tanzania kaponywa uziwi alokuwa nao kwa miaka 13 hapa na sasa anasikia na kuongea vizuri.
 
Ubarikiwe sana,kwa kutupatia taarifa,ila huyu rais wa malawi sijui kafuata nini huko,maana huyu mama ni mnafiki sana!

Ndugu sisi binadamu ni vigumi sana kujua mtu kama ni mnafiki au vinginevyo. It takes a spirit of God to know that. Kibinadamu anaweza kuwa kama unavodhani lakini mbele za Mungu akawa yuko sahihi. Hata hivo "a church is a place where sinner meet for sanctification of their sins"
 
Naona Bwana Mohamed anafurahia muujiza wake wa kufunguliwa masikio.
 
Sasa baada ya huo ujumbe wa South Sudan kufika hapo church na kukiri juu ya unabii aloutoa TB Joshua kwa nchi yao kutokea uasi huyu anayejiita mzee wa upako ataficha wapi upo wake???

Mungu na akuongeze TB Joshua
MwanaCBE achana na mzee wa upako. Tunatakiwa tuombe Mungu atupe neema ili kuweza kuweza kulibuka daraja ktk 2014
 
Last edited by a moderator:
Ama kwa Hakika leo Mapepo wanataabika sana na naona wanajuta kuikalia mili ya binadamu wale. Ni Moto tu wa Roho Mtakatifu
 
Back
Top Bottom