Shida ya hii ni impact haitaonekana...Pesa ndogo kama hii haiwezi weka barabara ya lami hata kilomita moja...Waliomshauri mama hawamtakii mema at the end hizo barabara baada ya mvua zitakuwa kama hazijafanyiwa kazi then ataonekana kama vile hizo pesa hazikufanya kazi...The back stops at her, she will be accountable for everything...Wanaomshauri wapo na interest ya kisiasa ambayo pia ni short livedMilioni 500 kila jimbo ndani ya miezi sita ngoja tufanye mahesabu.
Majimbo zaidi ya 264.
264x500=132,000,000,000Tsh
Inawezekana.
After sometime na hizi budget za kugusa hapa na pale you wont be able to see value for money zaidi ya pesa nyingi kuonekana kutumika