Ndani ya mfumo wa serikali tatu, yafuatayo yatazingatiwa?

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,121
2,064
Ndugu wana JF,
Sijaelewa vema kuhusiana na mfumo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasim ya katiba mpya. Naomba kusaidiwa kwa haya yafuatayo:
1. Kama rasimu ikipitishwa, Nasi Watanganyika tutakuwa na Bendera yetu na wimbo wetu wa TANGANYIKA?
2. Kila tarehe 9/december Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zitaongozwa na Kiongoz Mkuu (rais) wa TANGANYIKA?
3. Mfumo wa ulinzi na usalama, Polisi, JKT, Usalama wa Taifa utagawanya vipi ili pande zote zinufaike kulingana na wingi wa watu wake?
4. Viongozi wote watatu (Tanganyika, Zanzibar na wa Muungano) kama wakitokea vyama tofauti vyenye itikadi tofauti Muungano utaweza kudumu?

Naomba mwenye jibu au maoni kwa haya machache anisaidie
 
Mkuu usiumize kichwa bureeeee hayo yote mwanzo yalikuwa ya Tanganyika yakujigeuza km kinyonga yaksjiita ya Tanzania!!!!!l
Bendera ni ile ile ya Tanganyika ikawa ya Tanzania!!
Wimbo wa Taifa ni ule ule wa Tanganyika ukajigeuza wenyewe jina ukajiita wa Tanzania!!!
Nembo ni ile ile ya Tanganyika ikajigeuza jina ikajiita ya Tanzania!!!
kwaiyo mambo yote hayo yarudi Tanganyika kisha tuanze kutengeneza upya ya Muungano!!!!
 
kuna uwezekano wa kuyafanya haya?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom