Kichankuli JF-Expert Member Dec 18, 2008 887 189 Sep 26, 2011 #1 Siyo kwa ajili ya mieleka Attachments Mazoezini.jpg 14.9 KB · Views: 925
U uporoto01 JF-Expert Member May 23, 2008 4,700 1,415 Sep 26, 2011 #3 Huyu kaamua kutupa show tu,viatu hivyo na mazoezi wapi na wapi.
HARRY POTTER Member Sep 26, 2011 16 0 Sep 26, 2011 #4 Ndiyo maana siku hizi kuna gym za kike na za kiume.
Tresor Mandala JF-Expert Member Aug 20, 2010 37,460 78,664 Sep 26, 2011 #5 mie najiunga nitajiunga hiyo gym...kama iko bongo
Makindi N JF-Expert Member Mar 14, 2008 1,066 173 Sep 26, 2011 #7 Mkiwa mnapiga wote tizi, lazima kila cku uwe nyuma yake..............
KakaKiiza JF-Expert Member Feb 16, 2010 11,578 8,600 Sep 26, 2011 #9 Gym na koko??uliona wapi huyo yupo katika promotation yupo kazini!
Kunta Kinte JF-Expert Member May 18, 2009 3,688 1,281 Sep 26, 2011 #10 mtu chake said: mie najiunga nitajiunga hiyo gym...kama iko bongo Click to expand... Mtu chake mimi kwenye gym hiyo nitaishia kufanya mazoezi ya macho tu!!
mtu chake said: mie najiunga nitajiunga hiyo gym...kama iko bongo Click to expand... Mtu chake mimi kwenye gym hiyo nitaishia kufanya mazoezi ya macho tu!!
ndetichia JF-Expert Member Mar 18, 2011 27,772 6,555 Sep 26, 2011 #11 hilo ni zoezi la kuongeza masaburi kama kuna mtu anahitaji anaweza kufanya..
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 15,134 16,199 Sep 27, 2011 #15 nadhani hapa walikuwa wakitengeneza tangazo la biashara.
Elli Platinum Member Mar 17, 2008 55,499 86,037 Sep 27, 2011 #16 kaaaazi kweli kweli, sasa huyu mpiga picha kwanini hakutafuta style nyingine ya kumpiga picha huyu mwana mazoezi? haya
kaaaazi kweli kweli, sasa huyu mpiga picha kwanini hakutafuta style nyingine ya kumpiga picha huyu mwana mazoezi? haya
K Kachest Senior Member Nov 6, 2010 191 20 Sep 27, 2011 #17 Never give up kweli walikuwa wanatengeza tangazo la biashara, otherwise anajitangaza yeye huenda yuko kwenye mawindo
Never give up kweli walikuwa wanatengeza tangazo la biashara, otherwise anajitangaza yeye huenda yuko kwenye mawindo
DEVINE JF-Expert Member Mar 11, 2011 536 86 Sep 27, 2011 #19 C o anajiandaa na vigodoro vya kanga moko huyo?
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 27, 2011 #20 hyo ilikua ni kwaajili ya picha tu mana hzo high hills na gym wapy na wapy???