Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

romance ni muhimu sana kwangu kwenye zoezi zima la s.e.x! I loveee to romance na mwandani wangu!!

BelindaJacob..............nikiangalia hiyo lipstick kwenye avatar yako ujumbe ninaupata kwa kiujumla kabisa..............
 
Ruta Kama Bila Denda mnaanza na nini?

FirstLady1............kwanini unajitesa ivo kwa kuulizia maswali kebekebe wakati wino upo...................uuchote khalafu uandikie na majibu utakuwa nayo wala hutahitaji simulizi hizi......
 
ta ruta, mapenzi ni uchafu. unadhani kuingiza dudu yako kwenye .......... ya mtu ndo nini, yote ujinga tu.
mwaya wanaotaka kudendeka ruksa, ili mradi awe wako na si wa kuokota barabarani

mapenzi ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu ili mradi uitumie kama Alivyokusudia..............
 
Usirogwe ukala denda kwa changu au kumny.o.n.ya m.a.t.i.t.i. Denda kihalisia linafaa kwa watu walioaminiana haswaa japo utamaduni wa mtz na mwafrika haujaelekea kuikubali hali hii

Rogi umeniroga leo......na hizi busara tupu......
 
Tendo hilo ni muhimu sana kwa wapendanao kwa dhati kwani huvuta hisia ya kila mmoja na kuwa katika ulimwengu ambao wanaweza amini hakuna binadamu wengine zaidi yao wawili, hisia hakuna kufa, hisia mungu aliwapendelea kuwa pamoja, hisia wataishi milele pamoja.

Pakawa hii nadharia iko juu ingawaje sina uhakika na utekelezaji wake..........
 
Nimesema kwenye mapenzi sweetheart, changudoa hufanyi nae mapenzi
ile ni ngono tu,tena huria,na anayempa denda changu anatakiwa afanyiwe uchunguzi
wa akili yake

point taken in full.......
 
denda inaweza kuwa na ujumbe mzito /sio kila wakati mipaka kitu cha muhimu huwezi jiachia achia kama kuku wa kienyeji kupokea kila mimate ya watu huo utakuwa uchafu .

chauro uko kwenye mstari.....................mipaka ni muhimu sana kuwa nayo kwenye maisha.........
 
....halafu nawe waenda kusuuza kwa mkeo; ukirudi nyumbani...
By the way, hivi inawezekana bila kissing? Siwezi imagine yaani.

life without tongue kiss is boring but with the right lover or spouse.......tonguing is an in thing....
 
Kaunga ni kweli kwamba heri uumizwe na ukweli wa jambo ili upone kuliko kufarijiwa na uongo ambao utakuumiza

Kaunga amekubuhu kwa busara sana.......................[MENTION]Kaunga, mgeni10[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom