Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

Na ujumbe wa kwanza ni bacteria!

Au ukute mtu kapiga kitu uji wa ulezi, afu mnaanza kufakamiana lol

Na siku hizi hata denda laanza kushuka thamani, watu wanakutana club tu wanaanza kudendeana.

Ni ngumu mie kuelewa maana halisi ya denda, sababu ni ustaarabu wa kimagharibi zaidi.

Aisee we Kongosho vp tena! Usije ukafika ukadai hata chuma mboga ni western style, kwamba missionary style ndiyo pure African, lol!
 
nice topic na nina mipwenti mingi ya kuchangia juu ya hili sema nashindwa kutoa hapa hadharani sbb enzi mim na shogangu bi kidude tuko unyagoni tuliambiwa mambo haya hayazungumzwi hadharani.
 
Kila kukicha denda linashuka thamani na heshima yake inapotea..........leo unakutana na m2 kwene lifti gorofa ya sita mkifika chini mnapeana denda,,,,,,,,,,Kama denda ni real love hapo real love iko wapi?real love inajengwa ndani ya dakika 5?
 
Wee unaielewa maana yake?
Inaonesha nini?

Tumeiga vitu vingi kiasi kwamba vingine tumebeba bila hata kuvitafakari.

Aisee we Kongosho vp tena! Usije ukafika ukadai hata chuma mboga ni western style, kwamba missionary style ndiyo pure African, lol!
 
Haya mambo ya denda wengine yalishatupita kando na sidhani kama ni busara kuyaanza uzeeni. Ukweli ni kuwa hata ningekuwa kijana bado nisingeshabikia huu utamaduni wa kimagharibi ambao sioni matiki yoyote ndani yake.
 
duh... so huwa inakuwaje kuwaje ukiwa na Mama Tata!
 
Denda lina maana kubwa sana likifanyika kwa watu maalumu namaanisha wapenzi au wanandoa..i can't imagine mapenzi bila denda it must be boring kwa kweli..hii kitu hua inanoga bana especialy ukiwa na hisia za kweli kwa muhusika na usafi ukizingatiwa..
 
Haya mambo ya denda wengine yalishatupita kando na sidhani kama ni busara kuyaanza uzeeni. Ukweli ni kuwa hata ningekuwa kijana bado nisingeshabikia huu utamaduni wa kimagharibi ambao sioni matiki yoyote ndani yake.

dah! raha yote ile ya kule denda we hushabikii!? Pole zako.

Vaislay

Last edited by a moderator:
Kuna jamaa alitoka kazini, alipofika kwake akamkuta mke wake jikoni wakapigana denda. Jamaa akabaki na punje ya mchele mdomoni.
Jamaa akamuuliza mkewe "ulikuwa unatafuna mchele?
Mkewe akajibu; hapana natoka kutapika.
 
hahaha umenichekesha sana...kimsingi denda ni very sweet na haijalishi uko jikoni,bafuni au wapi ila inahitaji usafi jamani for the couples!
 
Na ujumbe wa kwanza ni bacteria!

Au ukute mtu kapiga kitu uji wa ulezi, afu mnaanza kufakamiana lol

Na siku hizi hata denda laanza kushuka thamani, watu wanakutana club tu wanaanza kudendeana.

Ni ngumu mie kuelewa maana halisi ya denda, sababu ni ustaarabu wa kimagharibi zaidi.

Oooh no..! Okey...yes...! yes...! Kongosho.... your right about always being perfect...! And I love you.
 
aah Ruta bwana; kwanini unaharibu raha za watu kwa kumention magonjwa!
Ujumbe wa juu ulikuwa muafaka kwa weeekend, sasa tutaanza kuwazia sijui kuna kavirus kanatembea nitakacatch, mavitu kama TB

Umeniudhi!
Looks like huna company this weekend, ndio maana unatuharibia mood nasi! LOL

kuna kaukweli ndani yake enhee ngoja tuone itakuwaje.. na sie tulioaddicted na hiyo mambo mbona ipo kazi..:-*:A S-heart-2:
 
Back
Top Bottom