Ndani ya CCM kunani? Kwanini gazeti la Uhuru na wahariri kujitoa muhanga kwa lolote?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
210
500
Sitaki kuchangia sana.

Ukijiuliza maswali ni kama kuna kitu nyuma ya pazia, maana kama sisi wananchi wa kawaida tulishanga kwani hatukuwai msikia mama akisema, ila tulimsikia tu akizuia watu kuanza kutengeneza makundi ya kutafuta Urais 2025, iweje jamaa watesti kutingisha kiberiti mapema?

Hata hivyo nadhani CCM ni chama kimojawapo Afrika namba moja au namba mbili kikongwe na chenye stamina ya kukabiliana na majanga ya ndani na nje.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom