Ndani pachungu

Ni kwa sababu kwenye hiyo ndoa anateseka mwanamke kwahiyo inaonekana kawaida ila angekuwa anateseka mwanaume ungeshasikia kauli kama "wanawake ni mashetani" mara "wanawake wa siku hizi hawafai kwa kuoa ni wa kupiga na kusepa tu" na mambo kama hayo
Sasa huu ubaguzi wa nini mtu anaweza kuwa na tatizo kubwa zaidi ya hili lakini akaambulia jokes tu.
 
Cha kufanya acha roho mbaya.

Tafuta kazi ya kufanya uwe busy sana.

Acha mdomo..

Acha kushindana na watoto wadogo...

Acha kumfunda sio mtoto huyo ni mtu mzima mwenzako.

Mpunguzie mumewe drama ametoka kazini kachoka hataki kusikia upuuzi wa kike kike..

Ukiweza kufanya hayo basi amani itarudi kwa kasi na mtaishi km mtu na mdogo wake.....
Furushi lingine hili hapa
 
Feminist katika ubora wako.

Unafanya kazi ya kuja na ID mpya tu...

Accept and let heal takes place
Acha kutaka kubadilisha mada unajifanya ndiyo unajua leo kuhusu mswala ya id wakati id nimebadili muda mrefu sana watu wengi wanajua na mimi ndiyo niliyewaambia na juzi juzi tu tulikuwa tunabishana mimi na wewe kwenye mada fulani nikiwa na hii hii id halafu leo unajifanya haujui hebu usigeuze mada bwana
 
Hapa ndo wanawake mna feli. Kwa nini usumbuke na mtu asiye jitambua. Jifanye kama hayupo...usimpe kazi yoyote, aitwe kula tu chakula tu.

Usitafute ubaya kwa watu,kama mmeo yuko kimya ina maana yamemshinda na amejagua kufanya yake. Na wewe fanya hivyo hivyo. Usijipe stress za bure. Live your life
 
Acha kutaka kubadilisha mada unajifanya ndiyo unajua leo kuhusu mswala ya id wakati id nimebadili muda mrefu sana watu wengi wanajua na mimi ndiyo niliyewaambia na juzi juzi tu tulikuwa tunabishana mimi na wewe kwenye mada fulani nikiwa na hii hii id halafu leo unajifanya haujui hebu usigeuze mada bwana
Mbona mimi hukuniambia jamani Mtoto mzuri?
 
Yeye ndio kawa Kama mwenye nyumba yan Mimi nifate anavyotaka akifanya kitu usiniulize ...ukimwachia hela ya matumiz usimuulize chenji ananuna hajibu nami nashinda kazin
Nakushauri ondoka hapo nyumbani hadi huyo bint atakapomaliza mitihani na kurudi kwao wewe ndio urudi
 
Kaa kimya mama..bila hivyo utagombana na mumeo na familia yake...hilo jaribu...omba mama...
 
Mwanamke kwa maelezo yako tu haya ...

Una roho mbaya ,mbeya,muongo na mnoko.

Badilika... Mtoto mdogo aliye ndan ya malezi yako hawezi kufanya ndani kuwe kuchungu...je anakufanya unagombana na mumeo?? Je amekuondosha amani ndan????


Infact , uliolewa kwa bahat mbaya, bado ulikua hujajiandaa kua Mke ,mama wa familia.
 
Back
Top Bottom