bigmind JF-Expert Member Oct 28, 2015 12,457 12,668 Mar 4, 2019 #2 Wakina kibudu wanatoa hotuba za kimaitimaiti ndiyo hawa maprofeseri wetu...! Poor Tanzania poor Africa. Sent using Jamii Forums mobile app
Wakina kibudu wanatoa hotuba za kimaitimaiti ndiyo hawa maprofeseri wetu...! Poor Tanzania poor Africa. Sent using Jamii Forums mobile app
Medecin JF-Expert Member Nov 29, 2011 7,895 21,301 Mar 4, 2019 #3 Huyu mama ana roho mbaya sana Sent using Jamii Forums mobile app
Mukulu wa Bakulu JF-Expert Member Aug 12, 2014 4,052 12,905 Mar 4, 2019 #5 Yeye alipewa uprofessa wakati hakua mwalimu wa chuo kikuu. Uprofesa ni tittle ya kitaaluma na sio academic qualification, unashangaa mtu hafundishi anataka aitwe profesa. Hii nchi ina mambo ya hovyo sana.
Yeye alipewa uprofessa wakati hakua mwalimu wa chuo kikuu. Uprofesa ni tittle ya kitaaluma na sio academic qualification, unashangaa mtu hafundishi anataka aitwe profesa. Hii nchi ina mambo ya hovyo sana.
Stanley Mitchell II JF-Expert Member Jul 2, 2018 971 1,300 Mar 4, 2019 #6 Mavipunda said: phd ya mafuta ya korosho Click to expand... Ni ya maganda sio mafuta
la magica JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,801 2,737 Mar 4, 2019 #7 Mavipunda said: phd ya mafuta ya korosho Click to expand... 😅😅😅😅😅😅😅😅
NZURI PESA JF-Expert Member Mar 25, 2011 5,959 2,938 Mar 4, 2019 #8 Hehehhee mi yangu ya Moshi wa kuni!