Hivi mtu ambaye kipaumbele chake ni elimu akhera utampa kipaumbele gani? utamuinuwa vipi? kuna maustaadhi wajanja wenye akili sasa wanapeleka watoto kwenye seminary za kanisa wmeshagunduwa kufuata mawazo ya watu kama @mohamedi Said ni kujitafutia msiba wakati yeye anakaa meza moja na makafiir kwenye majukwaa ya kisomi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.