Ndalichako:Pitia mitaala ya vyuo vya kilimo na mifugo


Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Messages
9,979
Likes
1,775
Points
280
Gama

Gama

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2010
9,979 1,775 280
Mitaala ya sasa ya certificate na diploma imetofautiana sana na mitaala ya miaka 10 iiliyopita. Mitaala ya sasa imefupishwa mno , mfano diploma za Kilimo na Mifugo hutolewa kwa mwaka mmoja hivyo kutoa nafasi finyu kwa wadahiliwa kufanya mazoezi kwa vitendo, he, graduants hawa wanaweza kufanya kazi za mashambani kwa ufanisi?

PENDEKEZO

Diploma za Kilimo na mifugo zitolewe kwa miaka miwili.
 
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Messages
736
Likes
347
Points
80
C

conservative3

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2013
736 347 80
mtoa post hii nimeipenda,kuna haja ya kuwa na mabadiliko muhimu ya kwenye mitaaala. mfumo wa nacte hasa kwa kozi km hizo na zingine zinazofana na hizo makazini ni changamoto, wameaandaa mitaala kana kwamba diploma na certificcate wanapita tu ili kupata sifa za kwenda shahada lakini si kuzalisha na kwa mazingira halisi wazalishaji ni astashahada na stashahada
 

Forum statistics

Threads 1,273,431
Members 490,382
Posts 30,481,413