Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,316
- 24,181
Hilo litamukumu kwa dhamira ya mashaka!Hata ukiwa prof ukishakuwa kwenye serikali hii lazima mshee akili na Mkuu na ya kwako uifungie kabatini
Hilo litamukumu kwa dhamira ya mashaka!Hata ukiwa prof ukishakuwa kwenye serikali hii lazima mshee akili na Mkuu na ya kwako uifungie kabatini
tehe tehe tehe!.Mkuu umeua..anasura ya babakeAmeshaonja asali ya uwaziri anajua akiongelea ishu ya Bashite anafukuzwa kama mwenzie!!!!! Wanafiki utawajua tu huyu mama na ile sura ya babake kakaa kimya
Tunaiomba serikali itegue kitendawili cha elimu ya makonda ili kuiokoa serikali na double standards
Serikali kupitia waziri wa ELIMU walisimamia sana kidete swala la vyeti feki kwa watumishi wa umma sasa tunaiomba nguvu iliyotumia kwenye uhakiki wa vyeti ihamishiwe kwa makonda pia ili kuonyesha dhana halisi ya sheria ni msumeno
Huenda ameanza kulifanyia kazi swala hilo hasa baada ya kuwa shusha walimu zaidi ya 7000 kutoka kufundisha sekondari kwenda shule za msingi.Yaani wafundishe a,e,i,o,u.Tunaiomba serikali itegue kitendawili cha elimu ya makonda ili kuiokoa serikali na double standards
Serikali kupitia waziri wa ELIMU walisimamia sana kidete swala la vyeti feki kwa watumishi wa umma sasa tunaiomba nguvu iliyotumia kwenye uhakiki wa vyeti ihamishiwe kwa makonda pia ili kuonyesha dhana halisi ya sheria ni denmsumeno
kaibuka leo na kutumbua walimu 7460 watoke sekondari waende msingi.Baada ya utumbua ji mkubwa huo huenda sasa ataanza swala la bashite alilo liweka kiporo,hasa baada ya kuona lina uzito wa aina yake.Gwajima anasema wapo misukule ambapo wenyewe walisha chukuliwa lakini hata shule hakusoma yeye bali pepo maalumu.Lakini akikurudisha toka uliko pelekwa unakuwa huna elimuyoyote elimu ile lina enda nayo hilo kama zimwi hivi.Labda alisomewa na zimwi sasa liliondoka na elimu yake Bashite kaachwa bila elimuBadaa ya kuibuka kwa inshu ya Bashite na watu kumtaka atoe tamko juu ya hili suala, mama yetu mchapakazi na tuliyekuwa tumemzoea kila Mara kwa kuibuka na mambo mbalimbali yahusuyo elimu, alipotea ghafla na mpaka Leo sijui kama yuko nchini au la
Wauza ngada wameona wamepata point ya kutokea...wamekomaa na hii kitu
Ametokota mpaka aibuBora angenyamaza, ingewapunguzia machungu kidogo wale waliopoteza kazi na kukosa stahiki zao kwa hitilafu za vyeti.
Hii itaamsha hasira na hisia za wahanga, sio jambo jema kabisa. Hapo watu wakihoji wataambiwa wachochezi.