N'daba

n'daba

New Member
May 29, 2013
2
0
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kujiingiza kwenye mahusiano ya mapenzi na ' mijimama' iliyowazidi umri, sababu hasa ni zipi?
 
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kiume kujiingiza kwenye mahusiano ya mapenzi na ' mijimama' iliyowazidi umri, sababu hasa ni zipi?

Tamaa ya pesa! vjana wengi wanaopenda mijimama hawana kazi ya kueleweka hapa mjini!
 
Tamaa ya pesa! vjana wengi wanaopenda mijimama hawana kazi ya kueleweka hapa mjini!

Kweli tamaa ya pesa imekuwa kubwa kwao kuliko jambo lingine lolote, ingawa pia inasemekana na urahisi wa hao majimama kupatikana, yaani hakuna kusumbuana, less or no cost (hakuna mizinga, ila wao ndio wanaolipwa ama kupiga mizinga), wao ndio wanaotongozwa na hao majimama.

Ila ukweli ni kwamba kwa kufanya hivyo wanaiweka future yao rehani maana anakuwa tegemezi wa kila kitu, at the end unakumbuka shuka kumekucha na inakuwa ngumu sana kuaproach wadada.
 
sababu ni nyingi sana lakini kwa mtazamo wangu ninazo sababu chache ningependa kuzieleza kwa faida ya wasomaji katika jukwa hili sababu zenyewe ni kama zifuatazo.
  1. Uwezo wa kufikili na swala la kujitambua kuwa wewe ni nani na una jukumu gani katika jamii yako pamoja na familia yako kwani hauwezi ukatafuta mwanamke umri wa mzazi wako kwa nia ya kujilusha na vitu vingine vinavyofana kama hivyo hii ni hatari kwako kijana ambaye unanafasi kubwa ya kuleta mageuzi kwa jamii yako.
  2. Tamaa ya kufikili kuwa utahongwa pesa na huyu unayetembea naye kumbe pesa ina thamani ndogo sana kuliko utu wako.
 
Ndo miaminifu kwenye love kuliko totoz, totozi zipo kifeza zaidi na visumbufu kuliko mijimama. Wacha mimi niendelee kutesa na jimama langu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom