NCHINI GHANA- WAJANE HUNYWA SUPU ILIYOTENGENEZWA NA SEHEMU ZA MWILI WA MAREHEMU MUME WAKE KAMA TAMBIKO.

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau huko nchi Ghana lipo tambiko ambako huhusisha mjane kunywa supu iliyotengenezwa kwa sehemu ya mwili wa marehemu mume wake.

"Nywele na kucha za mrehemu hutumiwa, mwili huoshwa na maji yaliotumika kuuosha hutumika kutengeneza kinywaji anachostahili mwanamke kunywa," anasema Fati Abdulai, mkurugenzi wa vuguvugu la wajane na yatima - shirika la misaada lililopo kaskazini mwa Ghana.

Baadhi ya wajane hufanikiwa kujikwamua kutokana na tambiko hizi - lakini wengi wanaishi katika umaskini na hawawezi kufanya hivyo.

Na kwa sababu mali hurudi kwa famili ya marehemu, wakati mume anapofariki, wanawake wegi hupoteza mashamba - labda mpaka watakubali kuolewa na jamaa ya marehemu mumewe.

BBC
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom