Nchimbi wa mama kwenye jimbo lako wanajifungulia barabarani

Fede Masolwa

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
528
123
nimeona sasa ITV, imenisikitisha sana mama moja songea amejifunguli njian amepakizwa kwenye bodaboda, watu waliohojiwa wamelalamika mama mjamzito yeyote songea lazima akajifungulie hospt ya mkoa na kulaumu kutokuwepo kwa mazahanat ambayo zingesaidia mama hawa, vip mh unataka urais wakat ubunge tu umekushinda.
 
Back
Top Bottom