USHAURI WA BURE KWA CHADEMA
nianze kwa kusema ni kazi ngumu sana kupambana na dola. ukipambana na dola hatimae utaitwa muasi au mhaini. ukifansa siasa kama mwanasiasa bila kutumia mabavu na kujifanya mbabe hutopata sana misukosuko ya dola. chdm inaelekea inatoka kwenye siasa na kuelekea kwenye vita na serikali. baada ya mgomo wa madaktari, unaochochewa na chadema, kufeli, sasa hivi linaibuliwa jengine la kutishia kuuwa viongozi wa kisiasa. slaa hakuuawa kipindi cha kampeni 2010 auawe leo! mnyika bado mtoto. ni utoto unamsumbua. akikua ataacha kuropoka ovyo. kama kuna mwaka ambao umekua mbaya kwa chadema ni huu. bungeni safari hii chdm wameboronga!
serikali lazima itawabana mnyika, slaa, mbowe na lema ili walete ushahidi. kama hawaiaini serikali kwa nini walisema. serikali ina jukumu la kulinda raia wake. jeshi la polisi liwahoji na kama hawaoneshi ushirikiano wakamatwe wawekwe ndani kwa kosa la kuitukana na serikali na kulidharau jeshi la polisi.