Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

Ninachoona sasa baadhi (tena linaweza likawa kundi kubwa) ya wajumbe wa nec wakasusia mkutano mkuu leo.
 
one may be led to believe that, all the heavy weights in the nominees were put there in order to clear Lowassa out.

He certainly CAN NOT complain.

Wamekatwa mawaziri wakuu wasiojiuzulu wa-2, kakatwa CJ mstaafu, Kakatwa Makamu wa raisi, Wamekatwa mawaziri waliuhudumia kwa miaka 40 na ushehe...,

Huyu JK kweli kamzidi mwenzie Usanii.., naona wa monduli kaingizwa mjini na wa msoga.

Pia naona Utekelezaji wa ilani ya CCM umembeba magufuli,sidhani kama kuna aliyemfikia kwa awamu iliyopita. One thing JK has managed to live up to is ushering in a new era, angalau hakuna nominee hata mmoja above 65.
Kimweri unamuongeleaje Makamba mana ni wakwenu kule waja leo waondoka leo,I believe unajua mengi kuhusu uyu jamaa.Mchambue kidogo mosie.
 
IT IS TOO LATE my friend, huyo mamvi wako urais haumtoshi bali unampwelepweta tu, asiforce 2 iwe 1, awe mpole. Yeye alidhani fedha ndo itamweka Ikulu, kamwambie hatudanganyiki tena awe mpole kabisaa. Usisahau kumpa pole kwa kupoteza fedha zake nyingi, bora angeenda kuzigawa kwa maskini huko.
 
Wahame chama tuwape ukatibu wa matawi ukawa. Km wanataka kugombea urais waende act-wasaliti
 
Kuna kila dalili CCM inafikia mwisho, mipasuko. Ya majirani zetu KANU kujirudia, rais Moi alifanya hivyohivyo kama huyu wakwetu.

Baadhi ya nyakati kiongozi anapaswa kuwa na chembe hata kidogo za khofu ya Mungu, si visasi.
 
Nape alikuwa anautangazia Umma kuwa Lowassa atakatwa .... yametimia ... Kweli Rais ndani ya CCM hawezi kutoka Kaskazini!! Grrrrrrrrrrrrrrrrrr
Miaka buku, hawezi kutoka kule maana kule wamejaa wachumia matumbo, wezi na mafisadi a.k.a walafi
 
Ilionekana kabisa kuwa lazima tu watamtoa, swali ni je hao waliopitishwa watapata sapoti ya wabunge wa CCM na wenyeviti wa CCM?
Vipi kama Lowasa akikata Rufaa hiyo kesho

Mkuu,muda ni mchache hakuna rufaa
 
Back
Top Bottom