Nchimbi: Email iliyosambazwa mitandaoni ni ya Uongo, Nimeshaanza kuchukua hatua za Kisheria

Heheh!! eti Waziri wa mambo ya Ndani anatoa tamko kupitia account ya FB

Kuna mtu naona hajielewi hapa!!!
 
Nchi hii nadhani inaongoza kwa kuwa na mawaziri wapumbavu! Sijui huwa wanaangilia nini kuteua waziri, ni ajabu na kweli! Hebu nipite mie!
 
Kweli Tanzania sasa hivi ni juu ya USA, UK, Japan na kwingine kwa mambo ya technology, Waziri anatoa tamko kupitia Facebook!!!
 
Back
Top Bottom