Nchi Zinazoongoza kwa Sera Kali za Ushoga Barani Ulaya.

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,446
16,301
Hizi ni nchi tano zinazoongoza kwa sera kali za ushoga:

1. Azerbaijan
2. Turkey
3. Armenia
4. Russia
5. Monaco

Hizi ni nchi tano zinazoongoza kwa sera wezeshi za ushoga:

1. Malta
2. Belgium
3. Luxembourg
4. Finland
5. Denmark


1123847



1123848
 
Yaaan haya mambo bana zile zinazoruhusu ndo rafiki kwa mbongo kuzamia kuliko zile zisizoruhusu sijuwi kwa nini wanafanya hivi.
 
Back
Top Bottom